Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
ItawaponzaTunajua mitambo ya kujumlishia kura ipo Dar lakini mjiandae Chadema na sisi tukishikirikiana na mabeberu tumeshaweka mitambo yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ItawaponzaTunajua mitambo ya kujumlishia kura ipo Dar lakini mjiandae Chadema na sisi tukishikirikiana na mabeberu tumeshaweka mitambo yetu.
Nyie si mlisema nyomi la Lissu ni picha za 2015?Uongo wa wazi. Hiyo video clip ya kubumba!
Mtajumulisha kisha mtamkimbiza Amsterdam kurudi ubelgiji.Tunajua mitambo ya kujumlishia kura ipo Dar lakini mjiandae Chadema na sisi tukishikirikiana na mabeberu tumeshaweka mitambo yetu.
Vipi ulikuwepo Moshi leo?Nyie si mlisema nyomi la Lissu ni picha za 2015?
Lissu aligombea 2015?[emoji23][emoji23]
Hamuwezi kukubali ukweli nyie watu.
Majibu mtayapata 28 Oct. RELAX!
Nilikuwepo Tanga Mjini.Vipi ulikuwepo Moshi leo?
Mbona unakwepa swali??Nilikuwepo Tanga Mjini.
Sijawahi ona Nyomi Kubwa Vile haki ya Mungu bila kuwa na Msanii wala kutangazwa na media.
Huyu Lissu ana Hatari kwa ule umati eeeh!
Swali gani wakati jibu unalo.Mbona unakwepa swali??
Lile jengo pale dodoma ni geresha ee