Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Duh CCM ni babalao.Nyamagana Ina mitaa 178 ccm imepata mitaa 175 chadema 3
Yule jamaa alifuta uchafu wote wa matapeli wanaojiita wapinzaniAthari za yule jamaa zitachukua muda mrefu kuisha
Zamani uchaguzi wa serikali za mitaa haki ilikuwa inatendeka japo sio Kwa 100%
Leo kuanzia katika grassroots hadi juu kuna uchafuzi. Kura za mazengo n.k
Sioni umuhimu wa kupiga kura Kwa sasa
Je alipata faida gani baada ya yote hayo ?Yule jamaa alifuta uchafu wote wa matapeli wanaojiita wapinzani
Faida ndio kama hii siasa za ujanja ujanja zinapotea tutapata upinzani wa kweli at the end.Je alipata faida gani baada ya yote hayo ?
Faida ndio kama hii siasa za ujanja ujanja zinapotea tutapata upinzani wa kweli at the end.
Ameshafariki ila si unaona legacy yake inavyoishi, mpaka umemkumbuka ujamtaja mkapa wala mwinyiSawa Ila yupo wapi sasa
Unafikiri wapinzani wasingekuwepo kabisa hawa chawa wangekula wapi?Faida ndio kama hii siasa za ujanja ujanja zinapotea tutapata upinzani wa kweli at the end.
Na yeye akafutika. Subiri na hao wanaofanya janja janja uone kitakocho wapataYule jamaa alifuta uchafu wote wa matapeli wanaojiita wapinzani
πππ wewe unazungumzia utoto sasa I can't make any argument with you anymore.Ameshafariki ila si unaona legacy yake inavyoishi, mpaka umemkumbuka ujamtaja mkapa wala mwinyi
Taja walioondokewa maana hakuna sehemu ambayo hamjawatoa wagombea wa chadema. Taja mliwatoa wangapi wakabaki wangapi? Ndiyo utaje ushindi maana wengine wamepita bila kupigiwa kura maana walikua wenyewe tuNyamagana Ina mitaa 178 ccm imepata mitaa 175 chadema 3
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Sasa huo ushindi unausubiri kwenye uchaguzi gani?Tumesha ipigia ccm kura, tutu lie sasa ushindi ni mnono na wa kihistoria.
Wilaya ya Nyamagana wagombea wote walioteuliwa na vyama vyao hakuna hata mmoja aliyeenguliwa kugombea wote walipitishwa.Taja walioondokewa maana hakuna sehemu ambayo hamjawatoa wagombea wa chadema. Taja mliwatoa wangapi wakabaki wangapi? Ndiyo utaje ushindi maana wengine wamepita bila kupigiwa kura maana walikua wenyewe tu