Matokeo ya Uchaguzi wa Mwenyekiti CCM Kata ya Kurasini yatiliwa shaka

Kayugumis

Senior Member
Joined
Jun 6, 2022
Posts
160
Reaction score
172
Mtifuano umeibuka katika Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kata ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata ya Kurasini baada ya wagombea wawili kupinga matokeo yaliyompa ushindi Arnold Emanuel Peter, aliyepata kura 136, huku Claudias Matiti Togocho akishika nafasi ya pili kwa kura 36.

Uchaguzi huo ulihusisha wagombea wanne, wamewasilisha malalamiko wakitaka mchakato huo uchunguzwe kutokana na kile walichodai kuwa ni ukiukwaji wa baadhi ya kanuni na taratibu za uchaguzi.

Katika malalamiko hayo wanadai kuwa Kamati ya Siasa ya Kata haikuwapa nafasi wagombea wawili kujieleza katika mchakato wa uchaguzi huo.

Pia, wameibua madai ya matumizi ya fedha kwa baadhi ya Wajumbe, wakitaka mamlaka husika kuchunguza suala hilo ili kubaini iwapo kulikuwa na ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi.

Malalamiko hayo pia yanahusu usafirishaji wa wajumbe kwenda kwenye ukumbi wa uchaguzi. Kwa mujibu wa madai yao, baadhi ya makatibu wa matawi walikodi magari yaliyowasafirisha wajumbe kwenda kwenye eneo la uchaguzi. Wanadai kuwa baadhi ya wajumbe walipewa maelekezo kuhusu namna ya kupiga kura na baadaye kuondoka.

Aidha, wamehoji namna bajeti ya uchaguzi na matumizi ya fedha yalivyopangwa na kusimamiwa, wakidai kuwa Kamati ya Siasa ya Kata haikuweka wazi kwa wagombea taarifa kuhusu bajeti na matumizi yaliyofanyika katika mchakato huo.

Aidha, baadhi ya wadau wa Chama hicho wanahoji kudaiwa kujitoleza kwa mfanyabiashara maarufu na mkubwa hapa nchini aliyewekeza katika eneo la Kurasini kwa nini alitoa kiasi kikubwa cha Pesa kumpatia mgombea wake ili aweze kushinda uchaguzi huo.

Wadau hao, walibainisha kuwa zaidi ya kiasi cha milioni 30, kilitolewa na mfanyabiashara huyo kwa ajili ya kuwanunua wagombea ili waweze kumpigia kura mgombea wao.

Inadaiwa kuwa mwekezaji huyo anatumia ushawishi wake wa pesa kuweka mgombea anayemtaka ili kufanikisha adhma yake ya kuzungusha ukuta katika ofisi ya chama uli ageuze kuwa bandari kavu (ICD).

Aidha, wadau hao walihoja kuwa kurasini kuna nini, iweje mgombea atumie zaidi ya kiasi cha milioni 200 kupata nafasi hiyo atakayodumu nayo kwa takribani miezi minane tu kupisha kufanyika kwa uchaguzi mwingine wa nchi nzima wa chama hicho.

Hoja nyingine iliyotolewa na wagombea hao inahusu idadi na uhalali wa wajumbe walioshiriki katika uchaguzi.

Aidha, wanadai kuwa idadi ya wajumbe walioshiriki ilizidi idadi ya wajumbe halali wa Kata ya Kurasini.
Wanasema baadhi ya wajumbe walikuwa wamehama katika maeneo yao kutokana na nyumba kubomolewa au maeneo yao kuchukuliwa na wawekezaji, hivyo wanahoji iwapo wajumbe hao walikuwa bado na sifa ya kushiriki katika uchaguzi.

Pia, wameibua madai ya kuwepo kwa wapiga kura wasiokuwa halali kutoka maeneo ya Chamazi, wakidai kuwa msimamizi wa uchaguzi hakuchukua hatua dhidi ya suala hilo.

Aidha, wamehoji matumizi ya rejesta, au ledger, ya wajumbe, wakidai kuwa haikutumika ipasavyo katika kuthibitisha sifa na uhalali wa wajumbe walioshiriki katika uchaguzi.

Katika, malalamiko hayo pia wamehoji sifa za baadhi ya wajumbe walioshiriki katika uchaguzi huo, wakitaja nafasi mbalimbali za uongozi ambazo baadhi yao walikuwa wakishikilia au kuwahi kuzishikilia.

Pia, inadaiwa kuwa kuna kiongozi mmoja mkubwa wa Mtaa wa Mivinjeni ambaye pia anashikilia nafasi mbalimbali za uongozi za zikiwemo za Chama na ya Udiwani Viti Maalum inadaiwa alikuwa akihusishwa na kukusanya wajumbe na mabasi kwa ajili ya kwenda kupiga kura.

Malalamiko hayo yanadai mamlaka husika kuchunguza iwapo ushiriki wa watu hao katika uchaguzi wa Kurasini uliendana na kanuni na taratibu za chama.

Kutokana na malalamiko hayo, wameomba mamlaka husika kuyasikiliza na kuyafanyia kazi, huku miongoni mwa maombi yao makuu ikiwa ni kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi huo na uchaguzi mwingine kufanyika kwa kuzingatia kanuni na taratibu za chama.

Wamependekeza pia kwamba iwapo uchaguzi utarudiwa, wagombea wawili waliopata kura nyingi katika uchaguzi uliopita wasishiriki, huku wao wawili wakipitishwa kugombea.

Wamesema wanataka kuona iwapo katika uchaguzi mpya idadi ya wajumbe itafikia hata 80, kutokana na mashaka yao kuhusu idadi ya wajumbe walioshiriki katika uchaguzi uliopita.

Hata hivyo, madai hayo bado yanahitaji majibu kutoka kwa Kamati ya Siasa ya Kata, msimamizi wa uchaguzi, wagombea waliotajwa pamoja na mamlaka husika za chama.

Majibu ya pande hizo yatasaidia kuweka wazi mazingira ya uchaguzi huo na kubaini uhalali wa hoja zilizowasilishwa.
 
Mtifuano umeibuka katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kata ya Kurasini baada ya wagombea wawili kupinga matokeo yaliyompa ushindi Arnold Emanuel Peter, aliyepata kura 136, huku Claudias Matiti Togocho akishika nafasi ya pili kwa kura 36.

Uchaguzi huo ulihusisha wagombea wanne, wamewasilisha malalamiko wakitaka mchakato huo uchunguzwe kutokana na kile walichodai kuwa ni ukiukwaji wa baadhi ya kanuni na taratibu za uchaguzi.

Katika malalamiko hayo wanadai kuwa Kamati ya Siasa ya Kata haikuwapa nafasi wagombea wawili kujieleza katika mchakato wa uchaguzi.

Pia wameibua madai ya matumizi ya fedha kwa baadhi ya wajumbe, wakitaka mamlaka husika kuchunguza suala hilo ili kubaini iwapo kulikuwa na ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi.

Malalamiko hayo pia yanahusu usafirishaji wa wajumbe kwenda kwenye ukumbi wa uchaguzi.
Kwa mujibu wa madai yao, baadhi ya makatibu wa matawi walikodi magari yaliyowasafirisha wajumbe kwenda kwenye eneo la uchaguzi. Wanadai kuwa baadhi ya wajumbe walipewa maelekezo kuhusu namna ya kupiga kura na baadaye kuondoka.

Aidha, wamehoji namna bajeti ya uchaguzi na matumizi ya fedha yalivyopangwa na kusimamiwa, wakidai kuwa Kamati ya Siasa ya Kata haikuweka wazi kwa wagombea taarifa kuhusu bajeti na matumizi yaliyofanyika katika mchakato huo.

Aidha, baadhi ya wadau wa Chama hicho wanahoji kudaiwa kujitoleza kwa mfanyabiashara maarufu na Mkubwa hapa nchini aliyewekeza katika eneo la Kurasini kwa nini alitoa kiasi kikubwa cha Pesa kumpatia mgombea wake ili aweze kushinda uchaguzi huo.

wadau hao, walibainisha kuwa zaidi ya milioni 30, zilitolewa na mfanyabiashara huyo kwa ajili ya kuwanunua wagombea ili waweze kumpigia kura mgombea wao.

Aidha,, wadau hao walihoja kuwa kurasini kunanini, iweje mgombea atumie zaidi ya milioni 200 kupata nafasi hiyo atakayodumu nayo kwa takribani mienzi minane tu kupisha kufanyika kwa uchaguzi mwingine wa nchi nzima wa chama hicho.

Hoja nyingine iliyotolewa na wagombea hao inahusu idadi na uhalali wa wajumbe walioshiriki katika uchaguzi.

Aidha, wanadai kuwa idadi ya wajumbe walioshiriki ilizidi idadi ya wajumbe halali wa Kata ya Kurasini.
Wanasema baadhi ya wajumbe walikuwa wamehama katika maeneo yao kutokana na nyumba kubomolewa au maeneo yao kuchukuliwa na wawekezaji, hivyo wanahoji iwapo wajumbe hao walikuwa bado na sifa ya kushiriki katika uchaguzi.

Pia wameibua madai ya kuwepo kwa wapiga kura wasiokuwa halali kutoka maeneo ya Chamazi, wakidai kuwa msimamizi wa uchaguzi hakuchukua hatua dhidi ya suala hilo.

Aidha, wamehoji matumizi ya rejesta, au ledger, ya wajumbe, wakidai kuwa haikutumika ipasavyo katika kuthibitisha sifa na uhalali wa wajumbe walioshiriki katika uchaguzi.

Katika, malalamiko hayo pia wamehoji sifa za baadhi ya wajumbe walioshiriki katika uchaguzi huo, wakitaja nafasi mbalimbali za uongozi ambazo baadhi yao walikuwa wakishikilia au kuwahi kuzishikilia.

Pia inadaiwa kuwa kuna kiongozi mmoja mkubwa wa Mtaa wa Mivinjeni ambaye pia anashikiria nafasi mbalimbali za uongozi za zikiwemo za Chama na ya udiwani Viti Maarum inadaiwa alikuwa akihusishwa na kukusanya wajumbe na mabasi kwa ajili ya kwenda kupiga kura.

Aidha, malalamiko hayo yanadai mamlaka husika kuchunguza iwapo ushiriki wa watu hao katika uchaguzi wa Kurasini uliendana na kanuni na taratibu za chama.

ok.🐒
 
Hii ni Kurasini ya zamani bandarini au Kurasini ya Mbagala yenye wakazi walotoka hiyo ya zamani.
 
Mwenyekiti wa kata wa kitu gani? Je ni wa Chama cha boda boda? Wa kikundi cha wafuga ng'ombe? Maana kiserikali hakuna cheo cha mwenyekiti wa kata.
 
Kurasini alishauziwa GSM hao wagombea wote wanakaa kivule, sasa huku wanagombea nini?
 
Back
Top Bottom