OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Kama wajumbe wa ccm walifanya vile sisi tusio na maslahi ndani ya chama hatuwezi kufanya kinyume na walivyofanya wajumbeAwamu hii inaweza kuwashangaza watu wengi,
Mnaweza mkaona watu wanafurika kwenye mikutano ya CCM, ila hakika mtashangaa na kubaki midomo wazi pale kula zitakapo anza kuhesabiwa, na matokeo kutoka...
Naanza kumwonea bwana yule huruama. Atagalagazwa hadi akose cha kufanyaCCM wanajaza watoto utasema ndo wapiga kura, lazima waangukie pua tu.
Wewe subiriMm najua Mh. Rais Magufuli kafanya makubwa mengi sanaaa na nitampigia kura tena, ila wasiwasi wangu mkubwa ni mmoja tu, ugumu wa maisha ya watu unaweza wapa kura kwa upinzani, sababu watu sasa hivi wanaelewa mambo sana sbb ya mitandao, pia wengi wana elimu ya juu na ushawishi mkubwa na kuchambua mambo, pia watumishi hali zao, hivi vyote vinaweza leta sintofahamu katika upigaji kura, hivyo CCM inahitaji tutumie kila mbinu kushinda, sbb hali kidogo ni ngumu mitaani
Chadema au wapinzani wanaweza kuwa ns kura nyingi ila wakurugenzi watapindua meza zao wakina na ulinz wa mitutu ya binduky.Awamu hii inaweza kuwashangaza watu wengi,
Mnaweza mkaona watu wanafurika kwenye mikutano ya CCM, ila hakika mtashangaa na kubaki midomo wazi pale kula zitakapo anza kuhesabiwa, na matokeo kutoka
Ndoto za mchana hizo mkuuAwamu hii inaweza kuwashangaza watu wengi,
Mnaweza mkaona watu wanafurika kwenye mikutano ya CCM, ila hakika mtashangaa na kubaki midomo wazi pale kula zitakapo anza kuhesabiwa, na matokeo kutoka,
Kuna uwezekano CCM ikapata kura chache sana!
Mmeshapata mtu wa IT mzuri kwa kupindua matokeo au? Mkileta kisirani tunahesabu kwa mkonoAwamu hii inaweza kuwashangaza watu wengi,
Mnaweza mkaona watu wanafurika kwenye mikutano ya CCM, ila hakika mtashangaa na kubaki midomo wazi pale kula zitakapo anza kuhesabiwa, na matokeo kutoka...