Uchaguzi 2020 Matokeo ya uchaguzi yatawashangaza wengi

Uchaguzi 2020 Matokeo ya uchaguzi yatawashangaza wengi

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Awamu hii inaweza kuwashangaza watu wengi,

Mnaweza mkaona watu wanafurika kwenye mikutano ya CCM, ila hakika mtashangaa na kubaki midomo wazi pale kura zitakapo anza kuhesabiwa, na matokeo kutoka.

Kuna uwezekano CCM ikapata kura chache sana!

Si mnakumbuka surprise ya wajumbe?

Mnakumbuka kilichomtokea Mwakyembe, Gwajima, Mwana FA na wengine wengi.

Hali inaweza kuwa hivyo hivyo na kwenye uchaguzi mkuu huu wa oktoba 28.

Wana CCM, watumishi wa umma, wakulima, wafanyabiashara wadogo wadogo n.k msishangae!! Wataipigia CHADEMA kwa wingi.

Watangaza matokeo watapata wakati mgumu sana.

Anayepinga apinge tutamkumbusha.
 
Mm najua Mh. Rais Magufuli kafanya makubwa mengi sanaaa na nitampigia kura tena, ila wasiwasi wangu mkubwa ni mmoja tu, ugumu wa maisha ya watu unaweza wapa kura kwa upinzani, sababu watu sasa hivi wanaelewa mambo sana sababu ya mitandao.

Pia wengi wana elimu ya juu na ushawishi mkubwa na kuchambua mambo, pia watumishi hali zao, hivi vyote vinaweza leta sintofahamu katika upigaji kura, hivyo CCM inahitaji tutumie kila mbinu kushinda, sbb hali kidogo ni ngumu mitaani
 
Awamu hii inaweza kuwashangaza watu wengi,

Mnaweza mkaona watu wanafurika kwenye mikutano ya CCM, ila hakika mtashangaa na kubaki midomo wazi pale kula zitakapo anza kuhesabiwa, na matokeo kutoka...
Kama wajumbe wa ccm walifanya vile sisi tusio na maslahi ndani ya chama hatuwezi kufanya kinyume na walivyofanya wajumbe
 
Mm najua Mh. Rais Magufuli kafanya makubwa mengi sanaaa na nitampigia kura tena, ila wasiwasi wangu mkubwa ni mmoja tu, ugumu wa maisha ya watu unaweza wapa kura kwa upinzani, sababu watu sasa hivi wanaelewa mambo sana sbb ya mitandao, pia wengi wana elimu ya juu na ushawishi mkubwa na kuchambua mambo, pia watumishi hali zao, hivi vyote vinaweza leta sintofahamu katika upigaji kura, hivyo CCM inahitaji tutumie kila mbinu kushinda, sbb hali kidogo ni ngumu mitaani
Wewe subiri
 
Awamu hii inaweza kuwashangaza watu wengi,

Mnaweza mkaona watu wanafurika kwenye mikutano ya CCM, ila hakika mtashangaa na kubaki midomo wazi pale kula zitakapo anza kuhesabiwa, na matokeo kutoka
Chadema au wapinzani wanaweza kuwa ns kura nyingi ila wakurugenzi watapindua meza zao wakina na ulinz wa mitutu ya binduky.
 
Awamu hii inaweza kuwashangaza watu wengi,

Mnaweza mkaona watu wanafurika kwenye mikutano ya CCM, ila hakika mtashangaa na kubaki midomo wazi pale kula zitakapo anza kuhesabiwa, na matokeo kutoka,

Kuna uwezekano CCM ikapata kura chache sana!
Ndoto za mchana hizo mkuu
 
Kwa kweli hali ni ngumu sana mtaani. Msimsukumie huko tena tafadhalini. Kwanza Rais gani hajui kidhungu, anaogopa na hawezi hata kukutana na Viongozi wa mataifa mengine. Akapunzike tu. Lissu yupo na ni zaidi ya Magufuli mara Elfu.
 
Sasa mshangao huo vp na shekhe yahya ushatuambia!! Ungenyamaza ili tushangae vizuri,siunajua maajabu yalivyoadimika? Ushaharibu.
 
Hehe kwahiyo wale wanaojaza mikutano ya Chadema ndio wenye uhakika wakukipigia kura sio??
 
Nasema hivi, iwapo wapinzani watasimama kidete mshindi halali atangazwe, tutashuhudia machafuko na ikibidi vifo juu.
 
Homa ikizidi, kamwone Dactari, ndo kama hivi yaani!!

Umekaaa ukabolekaa ukaona uje kupoza mawazo na kutuliza akili hapa jukwaani siyo?

Anayeishangaza CCM ni Nani?😂
 
Siasa haihitaji hasira. Maana unaweza kuzimia on the judgement day.
 
Chadema kuna ndoto wanaota,sababu ya hizo ndoto ni kwakukosa lishe bora.
 
Awamu hii inaweza kuwashangaza watu wengi,

Mnaweza mkaona watu wanafurika kwenye mikutano ya CCM, ila hakika mtashangaa na kubaki midomo wazi pale kula zitakapo anza kuhesabiwa, na matokeo kutoka...
Mmeshapata mtu wa IT mzuri kwa kupindua matokeo au? Mkileta kisirani tunahesabu kwa mkono
 
Back
Top Bottom