OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Awamu hii inaweza kuwashangaza watu wengi,
Mnaweza mkaona watu wanafurika kwenye mikutano ya CCM, ila hakika mtashangaa na kubaki midomo wazi pale kura zitakapo anza kuhesabiwa, na matokeo kutoka.
Kuna uwezekano CCM ikapata kura chache sana!
Si mnakumbuka surprise ya wajumbe?
Mnakumbuka kilichomtokea Mwakyembe, Gwajima, Mwana FA na wengine wengi.
Hali inaweza kuwa hivyo hivyo na kwenye uchaguzi mkuu huu wa oktoba 28.
Wana CCM, watumishi wa umma, wakulima, wafanyabiashara wadogo wadogo n.k msishangae!! Wataipigia CHADEMA kwa wingi.
Watangaza matokeo watapata wakati mgumu sana.
Anayepinga apinge tutamkumbusha.