Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA
Dar es Salaam, 26 Aprili, 2025:
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa kuandika tarehe 29 na 30 Machi, 2025 katika vituo tisa (9) vilivyokuwa vimeandaliwa hapa Nchini kwamba matokeo ya usaili huo yamekamilika na yanapatikana katika Tovuti ya Mamlaka. https://www.tra.go.tz/images/uploads/public_notice/english/MAJINA_YA_USAILI.pdf
Matokeo hayo yanaonesha namba ya mtihani na matokeo aliyopata msailiwa.
Mamlaka ya Mapato Tanzania inawashukuru wasailiwa wote kwa kuonesha nia ya kuitumikia Mamlaka na kuwatakia kila la kheri wote waliofaulu na kuchaguliwa kwenda katika hatua zinazofuata.
“Pamoja Tunajenga Taifa Letu”
Imetolewa na;
IDARA YA USIMAMIZI WA RASILIMALIWATU NA UTAWALA
Au unaweza kupakua PDF hapo chini.
DOWNLOAD