Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,987
Matokeo tayari
Mtihani wa DATA MANAGEMENT OFFICER II ulikuwa na maswali matatu (3).
ni hatarrrMtihani wa DATA MANAGEMENT OFFICER II ulikuwa na maswali matatu (3).
Swali la kwanza lilikuwa na 20 qns each had 2.5 marks
Swal la pili 10qns each had 2.5 marks
swali la tatu 10qns each had 2.5 marks
na hakukuwa na swali la kujieleza . it was multiple choices, T/F and Matching items.
By this exam settings how is it possible mtu apate 87%?
This sounds unfair nikama vile results zimepikwa
TRA Tanzania
kata rufaaINTERVIEW N0: TRA/09/175419
JINA: BAKAR ATHMAN LUHIZO
MARKS: 92
HABARI, POLENI NA MAJUKUMU YA KAZI. NILIFANYA INTERVIEW YA SECURITY SYSTEM OPERATOR (30-03-2025, Dodoma, Avenue:Udom; Saa 8mchana)
CHANGAMOTO YANGU NI KUPATA MARKS 92 KAMILI, KWENYE WRITTEN, IHALI KILA SWALI LINA 2.5marks. JE HII INAMAANISHA NIMEKATWA .5 YA MARKS NA KIVIPI?!
KWA UELEWA WANGU , NILITAKIWA KUPATA 92.5 KWAKUA MASWALI NILIYOKOSA NI MATATU(3 x 2.5) SAWA NA 7.5 NJE YA 100. ILA NIMEWEKEWA 92 KAMILI.
(100 - 7.5 = 92.5)
KWA DHATI NAWAOMBA MSAADA JUU YA HILI TAFADHARI..
maaan wamepost kwamba weny changamot na maks au malalamiko watume maomb yao kwny email,walitoa email ya kutuma maombkata rufaa