Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Muandika thread, Huu ni utoto sasaMAMLAKA YA MAPATO TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kutoa taarifa kwa watahiniwa wote waliofanya usaili wa kuandika wa TRA tarehe 29 na tarehe 30 Machi, 2025 kwamba, matokeo hayo yaliyotakiwa kutolewa leo tarehe 25 Aprili, 2025 sasa yatatolewa tarehe 26 Aprili, 2025. Tunawashukuru kwa subira.
"Pamoja Tunajenga Taifa Letu"
Imetolewa na;
MKURUGENZI WA RASILIMALIWATU NA UTAWALA
View attachment 3316724
Kuna watu wengi hawana taarifaMuandika thread, Huu ni utoto sasa
Tangazo hapa halikuwepo sasa ndio limewekwa rasmi.Jana hukupita website yao ndo unaingia sasahivi. Hilo tangazo unaliona jipya
Fuatilia thread. Liliwekwa janaTangazo hapa halikuwepo sasa ndio limewekwa rasmi.
Ngoja niombe PDF hapaFuatilia thread. Liliwekwa jana
Nakusubiria hapa...nina shida nayohayo matokeoNgoja niombe PDF hapa
Hawana taarifa ipi? Wakati kweenye website yao na kurasa zao zote waliweka toka jana?Kuna watu wengi hawana taarifa
Watu wanafuatilia muda wote hapa watu hawalaliHawana taarifa ipi? Wakati kweenye website yao na kurasa zao zote waliweka toka jana?
Watu hawapoi wanataka kuzama TRAHaya matokeo vipi hayatoki ingawaje yakitoka tutapoteana
Wameyang'ang'ania hawataki kuyatoa kwanini?Haya matokeo vipi hayatoki ingawaje yakitoka tutapoteana
Watakuelewa wachache sanaWewe omba ajila zirudi psrs huku ata yakitoka una mjomba TRA wa kukupa ajila
Kwanza pigo linaanza paper zimevuja watu wanazo je ayo majina?
Sekretarieti ya Ajira tunaomba ajila za tra zirudi kwenu.....
Watatoa taarifa kwa umma...Watatoa muda huu: 2359