Geofrey Banda
New Member
- Apr 15, 2025
- 4
- 6
Mdau nauliza matokeo ya usaili wa oral TRA ni lini watayatangaza
Isiwe kusubiri sana
Mwezi huu mwishoniMdau nauliza matokeo ya usaili wa oral TRA ni lini watayatangaza
Tusio na waganga kimetulambaSoma Sana Lakn HAKIKISHA unamganga anaejitambua na mwenye uwezo sio tapeli
Probably,Ukiangalia kwenye ratiba yao ya kwanza kulikuwa na interval ya siku 9 from last day ya oral interview mpaka results za oral interview, so possibly by Friday of this week
Kwani si walisema watataarifu kwa email kwa waliopita mchujo wa piliAny time soon mkeka unaachiwa.
Majibu ya oral huwa yanawekwa public. Maana yake tayari umeshapata kaziKwani si walisema watataarifu kwa email kwa waliopita mchujo wa pili
Majibu ya oral huwa yanawekwa public. Maana yake tayari umeshapata kazi
Sijajua modality watakayoitumia maana mwaka juzi, hawakuweka majina public waliobahatika kufaulu, walitaarifiwa kwa njia ya barua pepeMajibu ya oral huwa yanawekwa public. Maana yake tayari umeshapata kazi
Majibu ya oral huwa yanawekwa public. Maana yake tayari umeshapata kazi
How sure are you. pressure hadi basi Yaniwanaachia usiku wa tarehe 22..kaeni mkao wa kula