Shida ndo hiyo unaweza shtuka watu wako mafunzo yani😂😂😂S
Sijajua modality watakayoitumia maana mwaka juzi, hawakuweka majina public waliobahatika kufaulu, walitaarifiwa kwa njia ya barua pepe
Shida ndo hiyo unaweza shtuka watu wako mafunzo yani😂😂😂S
Sijajua modality watakayoitumia maana mwaka juzi, hawakuweka majina public waliobahatika kufaulu, walitaarifiwa kwa njia ya barua pepe
impossible ...Shida ndo hiyo unaweza shtuka watu wako mafunzo yani😂😂😂
Dah hizi taasisi kimbembeimpossible ...
jua hivyo
Nafikiri inaweza kuwa kuanzia wiki ijayo. Kwa ratiba yao ilivokuwa imekaaaMaana leo tarehe 24 au ndo waliopata washatumiwa email ingelikua uzur hata walokua hawajapata wakajua kma matokeo yametoka au bado maana pressure tupu
Nadhani bado maan pressure tupe.... Kula kwenda hii wazeeGuys kuna habari yoyote kama matokeo yashatoka?
😅😅😅🤣🤣🤣Ila tuliambiwa hizi kazi zina wenyewe hatukusikiliza
Duh Au tuwapigie simu tuwaulize kulikoni? Yani I just closure aisee. Deep inside najua ni ngumu kupata lakini watupe tu majibu tuendelee na maisha mengineHii kitu c bure oral week mbili ni mchakato tuu... Inabidi tusiwe Na expectation apo
Duuh hapo sjui wanawaza nn. Mda Wa kuchomekana huuDuh Au tuwapigie simu tuwaulize kulikoni? Yani I just closure aisee. Deep inside najua ni ngumu kupata lakini watupe tu majibu tuendelee na maisha mengine
Ushawahi kufanya usaili via utumishi?Duh Au tuwapigie simu tuwaulize kulikoni? Yani I just closure aisee. Deep inside najua ni ngumu kupata lakini watupe tu majibu tuendelee na maisha mengine
Subiri mdau TRA ya sasa hivi chini ya mkurugenzi wake wa sasa ipo wazi katika mchakato wa ajira so hutakaa bila kupokea taarifa mapema,wanachuja sasaIsiwe kusubiri sana