Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,656
- 9,074
Usichoke kusubiri.
Utumishi wanajulikana kwa kukalia matokeo. Ila tra walitoa ratiba kbs y’a Kila kitu kwanzia siku y’a kuitwa written. So sikutegemea kukaa gizani wiki mbili SasaUshawahi kufanya usaili via utumishi?
Very soonUsichoke kusubiri.
Nadhani walibadili siku za oral ndo ikavuruga kila kitu na hawakutoa update yoyoteUtumishi wanajulikana kwa kukalia matokeo. Ila tra walitoa ratiba kbs y’a Kila kitu kwanzia siku y’a kuitwa written. So sikutegemea kukaa gizani wiki mbili Sasa
Yah ni kweli. Ndio update zikaishia hapo hapo. Sasa ni kuendelea tu kusubiriNadhani walibadili siku za oral ndo ikavuruga kila kitu na hawakutoa update yoyote
Yah ni kweli. Ndio update zikaishia hapo hapo. Sasa ni kuendelea tu kusubiri
Mi sijapokea😢 all the best guysGuys kuna yoyote alokua kashapokea email
Ni kuendelea kusikilizia siku hii yote ya leo, siku ikibadilika bila kupokea email, basi ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo.Mi sijapokea😢 all the best guys
Yah kabisa. Leo siku itakua ndefu sana naona… yes ni kushukuru Mungu kwa yoteNi kuendelea kusikilizia siku hii yote ya leo, siku ikibadilika bila kupokea email, basi ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo.
Amina Mungu ni mwema daima atafanya kwa mapenzi yake.Good luck guys ila pressure tupu mungu atujaalie tufanikiwe
Kumbe tayariKama hujapokea email inamana hujafanikiwa