snchimbi
Member
- Dec 19, 2020
- 47
- 55
Jamani nami namshukuru na kumtukuza Mungu, nimepata email muda huu. Mungu kajalia jina lake lihimidiwe milele.Kuna mtu namfahamu kanipigia kasema amepata email jioni hii
Jamani nami namshukuru na kumtukuza Mungu, nimepata email muda huu. Mungu kajalia jina lake lihimidiwe milele.Kuna mtu namfahamu kanipigia kasema amepata email jioni hii
Hongera sana jamani Mungu akutangulieJamani nami namshukuru na kumtukuza Mungu, nimepata email muda huu. Mungu kajalia jina lake lihimidiwe milele.
True aisehDaaah
Very painful tusiopokea email hadi sasa.
Amina.Hongera sana jamani Mungu akutangulie
Hongera sanaJamani nami namshukuru na kumtukuza Mungu, nimepata email muda huu. Mungu kajalia jina lake lihimidiwe milele.
Aisee Hongera sana sana. Kada ganiJamani nami namshukuru na kumtukuza Mungu, nimepata email muda huu. Mungu kajalia jina lake lihimidiwe milele.
Tax management officerAisee Hongera sana sana. Kada gani
Inawezekana ndugu, ni kuendelea kusikilizia Mungu ni mwema sana, atawajalia ndugu zangu.Hizi email zinatumwa mara moja kwa kada zote au ni kwa mafungu,mwenye uzoefu
Hongera once again mkuuTax management officer
Amina namshukuru sana Mwenyezi Mungu.Hongera sana
Amina ndugu yangu, namshukuru sana Mwenyezi Mungu, nawaombea nanyi awajalie mpate ndugu zangu.Hongera once again mkuu
Aluta continua, usikate tamaaNimepokea ya kuwa NOT SELECTED eti wameandika upo katika Data base ya TRA 😭😭 very painful.
Nani akumbuke hiyo Data base ni uongo huu.
Leo wame toa email hata mm pia nimefanikiwa kupata nafasi Alhamdulilaahi mkuu..🙏Mdau nauliza matokeo ya usaili wa oral TRA ni lini watayatangaza