Hata Mimi nimepokea NOT SELECTED. I thank God for everything 🙏Nimepokea ya kuwa NOT SELECTED eti wameandika upo katika Data base ya TRA 😭😭 very painful.
Nani akumbuke hiyo Data base ni uongo huu.
Hata Mimi nimepokea NOT SELECTED. I thank God for everything 🙏Nimepokea ya kuwa NOT SELECTED eti wameandika upo katika Data base ya TRA 😭😭 very painful.
Nani akumbuke hiyo Data base ni uongo huu.
Ndio ndugu, mimi kuna jamaa yangu alifanyaga usaili baada ya wenzake kuitwa kazini, yeye alikaa miezi kama 10 hivi wakamuita piaKuna yeyote anamfahamu mtu aliwahi itwa kazini eti kwakuwa alikuwa katika Database?
Sahihi ndugu ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo, Mungu hupendezwa na mioyo ya shukrani na kupitia hiyo mioyo ya shukrani, ndipo Baraka zake zilipo, hakika muda si mrefu kwa moyo huo wa shukrani uliomuonesha atakubariki kwa kukupatia nafasi ndugu yangu, nakuombea Baraka zake ziwe nawe.Hata Mimi nimepokea NOT SELECTED. I thank God for everything 🙏
Asante sana kwa kunitia moyo ndugu. Nanyi mliopata Mungu awe nanyi mkawe waadilifu huko TRA mtuwakilishe vema vijana wenzenu. Kila la heri in your new career path🙏Sahihi ndugu ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo, Mungu hupendezwa na mioyo ya shukrani na kupitia hiyo mioyo ya shukrani, ndipo Baraka zake zilipo, hakika muda si mrefu kwa moyo huo wa shukrani uliomuonesha atakubariki kwa kukupatia nafasi ndugu yangu, nakuombea Baraka zake ziwe nawe.
AminaAsante sana kwa kunitia moyo ndugu. Nanyi mliopata Mungu awe nanyi mkawe waadilifu huko TRA mtuwakilishe vema vijana wenzenu. Kila la heri in your new career path🙏
Je, Kuna wale ambao labda wamepata alama kati ya 0% to 20% let's say. Nao pia wanawekwa katika Database au wanawekwa katika Database wale tu waliokaribia kufaulu Interview?Ndio ndugu, mimi kuna jamaa yangu alifanyaga usaili baada ya wenzake kuitwa kazini, yeye alikaa miezi kama 10 hivi wakamuita pia
Wadau wanasema baadhi ya watu wamepata email: NOT SELECTED - LOGGED IN Database; na wengine NOT SELECTED- Below PASSMARKS; however hawa wa not selected below passmarks, hakuna hata mmoja aliyeconfirm kupokea email ya aina hiyo; Hivyo bado haieleweki imekaajeJe, Kuna wale ambao labda wamepata alama kati ya 0% to 20% let's say. Nao pia wanawekwa katika Database au wanawekwa katika Database wale tu waliokaribia kufaulu Interview?
Clarify Please.
Kwa Hiyo kuna ambao hata email y’a rejection hawajatumiwa kabisa?Kama upo data base umetumiwa email
Nimelisoma tena tangazo Lao, I think limesema kuwa matokeo ya WOTE Walioomba yatatumwa kwenye email zao. So I think wote waliofanya oral wanatakiwa kupokea email ya either selected or NOT SELECTED. Huyu mtu aangalie email vizuri, isije Kuwa kaitwa kazini ila tu email hajamfikia. Mana siku ile y’a oral kuna mtu nilikutana naye alisema hakupokea ile email y’a invitation ya Oral, aliona tu namba yake kwenye Pdf ndo akajua ame qualify kwenda APC centreSijajua ila kuna watu wali wakaribu walisema hajatumiwa kabisa
Tangu jana wameanza kutuma kwenye email za watu waliweza kupass.Mdau nauliza matokeo ya usaili wa oral TRA ni lini watayatangaza
Mi nimepokea email. Ila ni NOT SELECTED. Kwa Hiyo email lazima upokee. Ila content sasaTangu jana wameanza kutuma kwenye email za watu waliweza kupass.
Ukiona hujapata email hujue hujachaguliwa.
Ok,yawezekana maana wengi waliopokea wamechaguliwa.Mi nimepokea email. Ila ni NOT SELECTED. Kwa Hiyo email lazima upokee. Ila content sasa
Uliambiwa kuwa umewekwa Database?Mi nimepokea email. Ila ni NOT SELECTED. Kwa Hiyo email lazima upokee. Ila content sasa