Ndio. I think Kila ambae hajachaguliwa has been told the same thingUliambiwa kuwa umewekwa Database?
Ndio. I think Kila ambae hajachaguliwa has been told the same thingUliambiwa kuwa umewekwa Database?
Kuna mwajiriwa ana two optionsShida ndo hiyo unaweza shtuka watu wako mafunzo yani😂😂😂
Vilio vya hqlmashauri ni vingi nenda wizaraniKuna mwajiriwa ana two options
1. Kwenda kufanya kazi ngazi ya Halmashauri ya Wilaya kitengo cha manunuzi
2. Kwenda kufanya kazi wizarani katika kitengo hicho hicho cha manunuzi.
Kwa uzoefu wako ungemshauri achague kwenda wapi kwenye manufaa zaidi ?
vijana tayari wako kwenye orientation tangu jumatatu.Wadau kwema, Majina ya walio bakizwa kwenye database TRA je wameanza kuitwa? au wataitwa baada ya muda gani ?
We bado unangojea? Just forget about it. Endelea tu maisha mengine mkuuWadau kwema, Majina ya walio bakizwa kwenye database TRA je wameanza kuitwa? au wataitwa baada ya muda gani ?
WalishaanzaWadau kwema, Majina ya walio bakizwa kwenye database TRA je wameanza kuitwa? au wataitwa baada ya muda gani ?
Za ndani ni kuwa kuna watu wengi hawajaripot siwez kutaja idadi but just pray luck to be on your side.So far hakuna aliyeitwa maana utaita mtu mwingine na tayari unaye mwingine na bado hujamtaarifu kuwa nafasi yake imechukuliwa sababu hajaripoti That is a no.So baada ya leo ndio wataanza kuita maana ambao hawajafika wameshapewa taarifa deadline ni leo tareh 13.Wadau kwema, Majina ya walio bakizwa kwenye database TRA je wameanza kuitwa? au wataitwa baada ya muda gani ?
Yaweza kua bahati yake, database ni bahati tu iwe upande wakoWe bado unangojea? Just forget about it. Endelea tu maisha mengine mkuu
Wengi hawaja ripoti? Kwanini labda. Hawakuhitaji Hizo nafasi amaZa ndani ni kuwa kuna watu wengi hawajaripot siwez kutaja idadi but just pray luck to be on your side.So far hakuna aliyeitwa maana utaita mtu mwingine na tayari unaye mwingine na bado hujamtaarifu kuwa nafasi yake imechukuliwa sababu hajaripoti That is a no.So baada ya leo ndio wataanza kuita maana ambao hawajafika wameshapewa taarifa deadline ni leo tareh 13.
Yah kweli LakiniYaweza kua bahati yake, database ni bahati tu iwe upande wako
Labda taratibu za kuhama zinawacheleweshaWengi hawaja ripoti? Kwanini labda. Hawakuhitaji Hizo nafasi ama
Brooooooo... Apply for the job even if you don't think you meet all of the requirements. Let THEM disqualify you, never disqualify yourself. Never be the one who says no to yourself.Mdau nauliza matokeo ya usaili wa oral TRA ni lini watayatangaza
Wengine wapo taasisi kubwa hivyo wanafanya kutathimini wapi bora zaidi bado hawajafanya maamuzi ,wengine watumishi wa serikalini hawajakamilisha taratibu za uhamishoWengi hawaja ripoti? Kwanini labda. Hawakuhitaji Hizo nafasi ama
Ndugu, wiki hii wapya wamerepoti eneo la training. Kuna watu wameongezwa kutoka kweny kanzi data, Tena ni wengi. Idadi itazidi kuongezeka baada ya Leo kama hao watumishi wa serikali wakishindwa kupata vibali maana walitolewa kwenye training siku ya Kwanza kabisa wakatafute vibaliZa ndani ni kuwa kuna watu wengi hawajaripot siwez kutaja idadi but just pray luck to be on your side.So far hakuna aliyeitwa maana utaita mtu mwingine na tayari unaye mwingine na bado hujamtaarifu kuwa nafasi yake imechukuliwa sababu hajaripoti That is a no.So baada ya leo ndio wataanza kuita maana ambao hawajafika wameshapewa taarifa deadline ni leo tareh 13.
Eh kwa Hiyo Sisi tuloambiwa tupo kwenye kanzi data tuendelee ku hopeNdugu, wiki hii wapya wamerepoti eneo la training. Kuna watu wameongezwa kutoka kweny kanzi data, Tena ni wengi. Idadi itazidi kuongezeka baada ya Leo kama hao watumishi wa serikali wakishindwa kupata vibali maana walitolewa kwenye training siku ya Kwanza kabisa wakatafute vibali
Yeah anything can happenEh kwa Hiyo Sisi tuloambiwa tupo kwenye kanzi data tuendelee ku hope
Sure. Hope next week Kuna watakaobahatikaEh kwa Hiyo Sisi tuloambiwa tupo kwenye kanzi data tuendelee ku hope
Followingwakuu habari ya asubuhi, je kuna update yoyote tujuzane kuhusu kanzidata TRA