Hapo ameguna kutokana na statement ya mkuu aliesema ukifika oral kuitwa Kazini ni kitu kidogo. Sio kweli. Hata mm nimeguna. Jinsia haihusiki hapo. ( mi mwenyewe niliishia oral)Ndio nini umeandika?we ni mwanaume au demu?
Hapo ameguna kutokana na statement ya mkuu aliesema ukifika oral kuitwa Kazini ni kitu kidogo. Sio kweli. Hata mm nimeguna. Jinsia haihusiki hapo. ( mi mwenyewe niliishia oral)Ndio nini umeandika?we ni mwanaume au demu?
NimeelewaHapo ameguna kutokana na statement ya mkuu aliesema ukifika oral kuitwa Kazini ni kitu kidogo. Sio kweli. Hata mm nimeguna. Jinsia haihusiki hapo. ( mi mwenyewe niliishia oral)
Nliona ninyamaze tu sikua na mood ya kuandika reply yoyote. Kuna stori nyingi mtaani aseeHapo ameguna kutokana na statement ya mkuu aliesema ukifika oral kuitwa Kazini ni kitu kidogo. Sio kweli. Hata mm nimeguna. Jinsia haihusiki hapo. ( mi mwenyewe niliishia oral)
Kuna story zipi huko?Nliona ninyamaze tu sikua na mood ya kuandika reply yoyote. Kuna stori nyingi mtaani asee
Kweli mkuu?Tupe hints kidogo jmnWatu w database msiwaze kuna mkate unakuja
😂😂database kugumu sanaKweli mkuu?Tupe hints kidogo jmn
Aah watajua wenyewe mi nishakubali matokeo. Siwazi tena. Maisha sio tra tuWatu w database msiwaze kuna mkate unakuja
Ya nini mkuu kuna any info?wiki ndio hii wakuu
Anna MtobuYa nini mkuu kuna any info?
Zaa ndani sio hahahwiki ndio hii wakuu
YamefutwaHivi data base wameita au ndio majina yamefutwa?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi data base wameita au ndio majina yamefutwa?
Kumbe we mwenyekiti unatukomalia tupige msuli tembo halafu wewe umepita shortcut🤔Soma Sana Lakn HAKIKISHA unamganga anaejitambua na mwenye uwezo sio tapeli