GE2025 Matokeo ya ushindi Kangi Lugola Jimbo la Mwibara yagubikwa na Sintofahamu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
1,763
Reaction score
819
Jimbo la Mwibara ni miongoni mwa majimbo matatu ya Wilaya ya bunda. Wilaya ya Bunda ina majimbo matatu ambayo ni Bunda mji, Bunda vijijini na Mwibara.
 
Wilso

Katika kura za maoni za jimbo la Mwibara aliye ongoza kura za maoni ni ndugu Kangi Lugola.
Matokeo ni kama ifuatavyo
Matokeo Jimbo la Mwibara
Kangi Lugola 2035
Charles Kajege 1830
Wilson Mkama 1003
Emanuel Makale 770

Hawa ndo walipata kura nyingi wapo wengine wawili ambao kura zao zilikuwa chache.

Kangi Lugola na Charles Kajege wametumia rushwa pamoja na kushirikiana na makatibu kata kuweka wapiga kura fake na kuwaondoa wapiga kura halali ambapo walikuwa wanachuna vikali sana na DR Wilson Mukama. ambaye wana Mwibara wanamtaka kwa udi na uvumba. Na wameanza kumshawishi kama chama hakitateua ahamie upinzani. Kwa ufupi Kangi Lugola na Charles Kajege ambao ni wabunge wa muda mrefu kila mmoja akiwa ametawala kwa miaka 10 wote wamekuwa waligawa wanachama kwa kaya na hata miradi ambayo Kangi aliacha, Kajege wala hakumalizia. Matokeo yake wananchi wanaumia kwa kukosa huduma kisa visa vya hawa wawili. Ni matumaini yangu Chama chetu sikivu kitachukua hatua kali kwao.
N Mkama (mla wa Nyabugeji) hawezi kuhama CCM. Hilo sahau. Amekuwa mkurugenz wa jiji la Dar na Katibu chamani. Ni mwaminifu na mchapa kazi mzuri sema kaumri kamesogea. Kwisanju oyeee!!
 
Naona Wilson Mukama katibu wa chama zamani unapambana sana. Fitina hazisaidii sababu wote mlitumia fitina kwa njia ya rushwa. Kubali matokeo
 
Huyo Fala simpendi kichizi yani
 
Ccm wafanye yote ila wasiuane. Kuua ni dhambi na inamchukiza aliyetuumba.
 
Wilso

N Mkama (mla wa Nyabugeji) hawezi kuhama CCM. Hilo sahau. Amekuwa mkurugenz wa jiji la Dar na Katibu chamani. Ni mwaminifu na mchapa kazi mzuri sema kaumri kamesogea. Kwisanju oyeee!!
Sawa mkaruka
 
Watajuana wenyewe wanaccm wote wezi na watia nia wote Wametoa rushwa mpaka sa100 katoa baskel na pikipiki,
Lugola mzee wa kukata Mauno kamzidi Wilson ujanja, ubunge tuwe tunapokezana
 
Jimbo la Mwibara ni miongoni mwa majimbo matatu ya Wilaya ya bunda. Wilaya ya Bunda ina majimbo matatu ambayo ni Bunda mji, Bunda vijijini na Mwibara.
Katika kura za maoni za jimbo la Mwibara aliye ongoza kura za maoni ni ndugu Kangi Lugola.
Matokeo ni kama ifuatavyo
Matokeo Jimbo la Mwibara
Kangi Lugola 2035
Charles Kajege 1830
Wilson Mkama 1003
Emanuel Makale 770

Hawa ndo walipata kura nyingi wapo wengine wawili ambao kura zao zilikuwa chache.

Kangi Lugola na Charles Kajege wametumia rushwa pamoja na kushirikiana na makatibu kata kuweka wapiga kura fake na kuwaondoa wapiga kura halali ambapo walikuwa wanachuna vikali sana na DR Wilson Mukama. ambaye wana Mwibara wanamtaka kwa udi na uvumba. Na wameanza kumshawishi kama chama hakitateua ahamie upinzani. Kwa ufupi Kangi Lugola na Charles Kajege ambao ni wabunge wa muda mrefu kila mmoja akiwa ametawala kwa miaka 10 wote wamekuwa waligawa wanachama kwa kaya na hata miradi ambayo Kangi aliacha, Kajege wala hakumalizia. Matokeo yake wananchi wanaumia kwa kukosa huduma kisa visa vya hawa wawili. Ni matumaini yangu Chama chetu sikivu kitachukua hatua kali kwao.
CCM kutumia rushwa kwenye uchaguzi ni jambo lililokubaliwa
 
Nje pagumu
 
Back
Top Bottom