GE2025 Matokeo ya ushindi Kangi Lugola Jimbo la Mwibara yagubikwa na Sintofahamu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
1,763
Reaction score
819
Jimbo la Mwibara ni miongoni mwa majimbo matatu ya Wilaya ya bunda. Wilaya ya Bunda ina majimbo matatu ambayo ni Bunda mji, Bunda vijijini na Mwibara.
 
Wilso
N Mkama (mla wa Nyabugeji) hawezi kuhama CCM. Hilo sahau. Amekuwa mkurugenz wa jiji la Dar na Katibu chamani. Ni mwaminifu na mchapa kazi mzuri sema kaumri kamesogea. Kwisanju oyeee!!
 
Naona Wilson Mukama katibu wa chama zamani unapambana sana. Fitina hazisaidii sababu wote mlitumia fitina kwa njia ya rushwa. Kubali matokeo
 
Huyo Fala simpendi kichizi yani
 
Ccm wafanye yote ila wasiuane. Kuua ni dhambi na inamchukiza aliyetuumba.
 
Wilso

N Mkama (mla wa Nyabugeji) hawezi kuhama CCM. Hilo sahau. Amekuwa mkurugenz wa jiji la Dar na Katibu chamani. Ni mwaminifu na mchapa kazi mzuri sema kaumri kamesogea. Kwisanju oyeee!!
Sawa mkaruka
 
Watajuana wenyewe wanaccm wote wezi na watia nia wote Wametoa rushwa mpaka sa100 katoa baskel na pikipiki,
Lugola mzee wa kukata Mauno kamzidi Wilson ujanja, ubunge tuwe tunapokezana
 
CCM kutumia rushwa kwenye uchaguzi ni jambo lililokubaliwa
 
Nje pagumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…