Andie
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 712
- 1,642
Salaam wakuu,
Katika kutibu kiu ya kujua mambo mimi na wenzangu wawili Thomas na Lilian (sio majina yao halisi ) tuliamua kufanya utafiti binafsi juu ya "women obidience to their bosses VS husbands" heshima na utii wa wanawake kwa maboss wao kulinganisha na utii kwa waume zao.
Area of study ilikua Turiani - Morogoro, Ilemela -Mwanza na Kinondoni - Dar. Research methodoloy ilikua experimental design, Sample size ilikua wanawake 340 na Data collection techniques ilikua proficiency testing, interview na behaviral observation bila ya wahusika kujua wako chini ya utafiti ili kupata matokeo halisi ya tabia (behavioural results)
Test retest criterion method ilitumika kama validy and reliability approaches ili kupata findings zilizo relialible as much as possible.
Wanawake bila kujua waliwekwa kwenye uchungunzi kwa muda wa week 4 wakiwa subjected kwenye scenerio 32 kwa kila mmoja. Kulikua na control group ya nusu ya idadi ya wanawake na nusu nyingine ilikua experimental group.
Matokeo yamebainisha 98.8% (ambayo ni significant score) wanawake wako tayari kutii maajizo ya boss pale yatakapo kizana na ya mume. Mfano scinario na. 004 wanawake wako tayari kutii bila swali wala kuhoji mapendekezo ya boss ya kuchelewa au kurudi kazini muda wa ziada hata kama mume ameshauri muda huo utumike kwa shughuli nyingine ya kifamilia.
Aidha wanawake 86% waliokua chini ya utafili walibainika kufanya mambo ya kumpendeza boss kwa hiari hata kama yatamkwaza mume. Kwa mfano scinario na. 011 asilimia tajwa ya wanawake wako tayari kukubali mualiko wa boss japo wanajua kufanya hivyo kutamkwaza mume.
Katika hali ya kushangaza wanawake wa experimental group katika utayari wa kujibu simu, 97% hawakupokea simu za waume zao walipokua na maboss wao walikata simu kuendeleza utulivu na usikivu kwa boss ila walipokua na mume, walipokea simu za boss bila kusita bila kuchelewa. Wanawake 12 kati yao walipopigiwa na boss walisogea pembeni (wakijitenga kidogo na mume) ili kuongea na boss.
100% ya wanawake waliofanyiwa utafiti walionesha kupata furaha zaidi kama watapata fursa kwenda seminar yenye posho kuliko kwenda mapumziko na mume na familia zao.
Findings za habitual test zimeonyesha wanawake 87% hujibishana kwa lugha chafu pale wanapo kinzana mawazo au kukwazwa na waume zao ila 0% au hakuna mwanamke alieripotiwa kujibishana na boss hata wanapokwazwa na kuonewa.
Respondent number 0213 alinukuliwa akizungumzia kujibishana na boss hivi ndivyo alisema. " Boss unaanzaje kubishana nae, boss wangu mimi naona ndo mwanaume kati ya wanaume, we mtu anakupa mshahara, we mtu akikohoa tu huna kazi mume yupo tu akizingua hata umtukane atafanya nini".
91% ya wanawake waliochunguzwa bila ya wao kujua wako katika uchunguzi, wako tayari ndoa zao kuvunjika ila wasipoteze kazi. Kwa lugha nyingine kazi kwanza ndoa na familia badae.
Findings za kutumiwa kingono hazikuwa valid na sijayafanyia analysis baada ya wanawake waliochunguzwa kusita na wengine kugoma kuzungumza kama wamewahi kutumiwa kimwili na maboss wao.
Wakuu conclusion mtatoa nyie kazi yangu ilikua kufanya Presentation, Analysis na Discussion of findings. Labda nitoe recommendations for further research:
Narecommend research zaidi katika maeneo tofauti ili kumirginalize findings za tafiti hii au kurefute facts.