Matokeo ya utafiti binafsi: Wanawake huwaheshimu na kuwatii maboss kuliko waume zao

Matokeo ya utafiti binafsi: Wanawake huwaheshimu na kuwatii maboss kuliko waume zao

Bila hata ya kuisoma post yote, niongeze tu hapo kwamba hata wachungaji wa makanisa yao au viongoz wa makani yao, wanawaheshimu sana sana kuliko hata waume zao.
 
Waganga wa kienyeji msiwasahua nao wanaheshimika sna na hawa mama mijengo
 
Back
Top Bottom