Matokeo ya utafiti binafsi: Wanawake huwaheshimu na kuwatii maboss kuliko waume zao

Akishtukia kama pisi Kali zinakupa heshima sana ndo chanzo cha kufurisika usiruhusu ufanye kazi na mkeo sehemu ambayo kuna wanawake wenzie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok.. basi wife awe na kamradi ka kum-keep bize na kupata mpunga kiasi, afu dume unamiliki a massive project na baadhi ya wafanyakazi hapo ni walimbwende, ili wife ajue akileta dharau za makusudi Kuna reserve huko..

Ila kwa ujumla, thamani na ulinzi wa mume ni MPUNGA.. Kama unamiliki mpunga usio na mawazo, lzm respect itakuwepo tuu
 
Yeah ,ajue kabisa hela unayo na akizingua atakuja mwenzie kula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohoooooweeee mbona mnataka tudanji vibaya aiseh πŸ˜†πŸ˜†
 
Kazi ndio kila kitu dunia hii au nasema uwongo ndugu zangu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ahsante na hongera kwa utafiti mzuri

Sisi wazee wa zamani tunahitimisha kwa kueleza sababu kuu iliyosababisha haya. Asilimia kubwa ya wamama wa siku hizi walioajiriwa ni mabosi nyumbani kwao. Yaani baba hana sauti wala mamlaka kama zamani... Sasa kama mama nyumbani anajifanya bosi,na mime kaliruhusu hill unategemea nini....

Yeye ni mtumishi kazini, na bosi nyumbani. Kazini ananyeyekea, nyumbani ananyenyekewa. Atamtii vipi mtu anayemnyenyekea?


Yote haya yamesababishwa na uzembe wa wanaume. Usisahau huyu bosi anayepewa utiifu kazini na wanawake wengine, ndo huyuhuyu akirudi nyumbani mke wake anamwona hana lolote mbele yake.

Nimemaliza
 
Pesa Vs Mapenzi bila shaka pesa inashinda hapo sasa unawezaje kushindanisha hvyo vitu viwili

Mazoea nayo huchangia kushuka kwa heshima. Kuna mstar mwembamba unaotenganisha mazoea na dharau ukisharuhusu mazoea umeruhusu dharau

Bosi anaogopwa ila akianza kulala na mfanyakaz wake ule utii na kuogopwa huanza kupungua.

NB. Ukitaka heshima usiruhusu mazoea
 
Na mahouse girl walikuwa among participants?
 
Research yenu imebase upande mmoja tuu ambapo mmeconsider Male Boss Vs Female Employee.

Sasa endapo boss ni mwanamke na employee ni mwanamke imekaaje? Huoni kuna falacy hapo?
Unforgetable
 
Kwa nn hao wake zenu mnataka kuwala peke yenu, tuachieni na sisi mabosi tuwachape, kizuri usile peke yako.
 
Pamoja na utafiti huu bado mnang'ang'ania kuwaoa walio maofisini,. Wakati wapo wa mtaani
 
Mleta mada post namba 17 hujanipa ufafanuzi au unachagua maswali ya kutolea ufafanuzi?
 
Zaid ya kumheshimu sijawah kumuogopa boss hata day 1
 
.............wanamke mlioajiriwa hamna quality za kike mnakimbizana kuwa kama wanaume.
....... mjinga kuoa jike dume.
Ukwel mchungu sana huu.Ugly truth.
Ila mke wangu not one of them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…