Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Sawa tunanunua!

Je umetafiti chanzo ama sababu ya kuwanunua ishamiri tangia enzi za Adamu na Hawa?

Ni sababu gani pia inawafanya hata wanaume waliopo katika ndoa kuangukia kwenye uteja huo?
Mimi huwa nikiwaza hili nafikiria katika theory mbili za uchumi;
1.Je, idadi ya wanaojiuza (supply) inazidi kuongezeka siku hadi siku kwa sababu demand pia inaongezeka? (The more the demand, the more the supply).
2.Au, wanaume wananunua kwa sababu supply (wanaojiuza) wapo? (Supply creates its own demand).
Swali lako la mwisho hilo pia ni Research Question ambayo ni very interesting
 
Unajua siku hizi mambo ya mahusiano mimi huwa nasema yamekua "externalized" sana. Ndio maana masuala ya misambwanda siku hizi yamekua na hype sana. Wanaume wengi tunaangalia zaidi external features, na wanawake sasa wako bize kuziboresha na kuzionyesha hizi external features zao ili "wawe marketable". Ni balaa
 
Mliowala ktk hiyo tafiti ni % ngapi
Hakuna walioliwa katika huu utafiti mkuu.
Wachunguzi wetu wrote walisainishwa fomu za kukubaliana na terms and conditions za kuwa wachunguzi kwenye huu utafiti, ambapo mojawapo ilikua ni kutotumia mawasiliano watakayoyapata na kuestablish kipindi cha utafiti kwa matumizi binafsi kama hayo ya kuwala.
Pia, akaunti zilizokua created zilikua owned na entity ya utafiti kwa maana ya kwamba zilikua created na a third party, hivyo mimi msimamizi wa utafiti pamoja na wachunguzi wangu hatukua tukijua passwords za hizo accounts. Hii yote ni Ku minimize hayo uliyoyasema.
Japokua ni ngumu kusema confidently kwa asilimia 100 kuwa hakuna mchunguzi aliefanya hivyo maana binadamu akitaka kufanya jambo lake ni ngumu kumzuia kabisa.
 
Kwahiyo wapo mabaharia walioa wafanyabiashara na wakao is wafanyabiashara..
POLE YAO SANAA.

#YNWA
 
Hongera kwa utafiti wako mimi ombi langu ni moja naomba hizo namba zote unitumie kwa muendelezo wa utafiti.
Hili ndio la muhimu ...atupe hizo namba watu tukaburudike na warembo wa badooo
 
Utafiti huu haujaongopa Dr. Wansegamila

Kama mnaweza kufanya na utafiti wa vijana wa kiume wanaojiuza huko mitandaoni tutashukuru. Maana kwa mambo yanayoendelea mitaani yamekua mengi mno, sijui shida inaanziaga wapi, ila taabu iko kwa wazazi.
Wazazi wa siku hizi si walezi bali ni WADHAMINI. sijui kama umenielewa nini namanisha...?!
 
Balaa kweli kweli haswa pale mwanaume anapovutitwa na msambwanda halafu baadae analamika mwanamke hana akili
 
Daah misambwanda we acha tu wanaume ndo tunaelewa kwa nini tunaipenda ina zaidi ya vichocheo difficult to explain
 
Wadau mnao kujaa kuombaa link inbox za group za mautamu....mnisambazie na vochaa Sasa za vifurushii....buku yako unapata link sio nitumie Tena MB zangu za mawazo....au vip.
 
Ufunuo 21:8-"Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na WAZINZI, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili".
 
Mambo yapo telegram aisee kule Yan unapiga video call unakuta mtu yupo uchi kiukweli maadili yanamomonyoka kwa kasi sana.

Cha ajabu picha zinajidownload na zinajisave kwenye simu aisee nlikuja kustuka uzuri watoto sidhan Kama walipekuwa sehemu ya picha

Ukweli n kwamba watoto wadogo wameingia kwenye maisha maraisi sana. Kwaleo Ila kesho yake Ni mazito mno muhimu kuomba MUNGU tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…