Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

Matapeli pia hawako nyuma, tena in wanaume wanajifanya mabinti. Ukituma nauli tu, umeliwa.
Ipo sana hiyo
Na pia wapo wengine wakipata picha yako wanaitengeneza na wanaweka #yko ya sim
Kuwa we ni shoga unatafuta bwana
Wanaku shake ili wakupige hela wanakutisha yaani uwape 200,000 au 100000
La sivyo watairusha kwenye fb na magroup

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaha.....!! Vibaya hivyo mkuu. Alitaka shilingi ngapi?
Ila unaweza kuta hats hayuko chuo Hugo mkuu, kaandika tu kwenye profile na anajifanya hivyo.
Kwenye huu utafiti wetu, wengi waliokua Dodoma walikua wameandika wapo UDOM, Mipango na CBE. Ila ukirusha sentensi mbili za kingereza tu, hola anakwambia mchat kwa kiswahili.
hapo kwenye kudanganya kusoma ni kweli maana hata alivyokuwa anaandika tu nilipata mashaka..

lakini kumbe ile.profile picture sio yake.
aliponipa picha yake ,
nilimuonea huruma sana mdogo kama 19 hivi.

papuchi za watoto kama hizo sio safi
 
Duh sorry hivi hiyo mitandao lengo hasa hadi ikawepo ni nini? Je ni kama jf hivi majukwaa mbalimbali ama yenyewe ni special kwa biashara hiyo(kujiuza?).
 
hapo kwenye kudanganya kusoma ni kweli maana hata alivyokuwa anaandika tu nilipata mashaka..

lakini kumbe ile.profile picture sio yake.
aliponipa picha yake ,
nilimuonea huruma sana mdogo kama 19 hivi.

papuchi za watoto kama hizo sio safi
Hatari sana mkuu.
 
Duh sorry hivi hiyo mitandao lengo hasa hadi ikawepo ni nini? Je ni kama jf hivi majukwaa mbalimbali ama yenyewe ni special kwa biashara hiyo(kujiuza?).
Badoo, Tinder na Hitwe hizo zote ni 'dating sites' yaani zinatumika kwa ajili ya watu kutafuta marafiki, boyfriends & girlfriends, wachumba, na hata one night stands etc. Hivi ndivyo ambavyo imekua designed na waliyoitengeneza.
Ila sasa kwa matumizi ya kibongo imekua ni kama mitandao ya wanawake kujiuza na wanaume kutafuta wanawake wa kununua. Kiasi kwamba sasa hivi ni common kuambiwa ukikuta girlfriend wako yuko badoo/tinder/hitwe ogopa sana.
Ila kwa mfano Telegram, ndo mtandao ambao sio hata dating site.... Ila kibongo ndo umegeuzwa kuwa mtandao wa kuuza na kununua nyapu kabisa... Tena telegram wanajiuza wazi wazi kabisa, hakuna hata haja ya utafiti.
 
Badoo, Tinder na Hitwe hizo zote no 'dating sites' yaani zinatumika kwa ajili ya watu kutafuta marafiki, boyfriends & girlfriends, wachumba, na hata ome might stands etc. Hivi ndivyo ambavyo imekua designed na wali you ten gene a.
Ila sasa kwa matumizi ya kibongo imekua ni kama mitandao ya wanawake kujiuza na wanaume kutafuta wanawake wa kununua. Kiasi kwamba sasa hivi ni common kuambiwa ukikuta girlfriend wako yuko badoo/tinder/hitwe ogopa sana.
Ila kwa mfano Telegram, ndo mtandao ambao sio hata dating site.... Ila kibongo ndo umegeuzwa kuwa mtandao wa kuuza na kununua nyapu kabisa... Tens telegram wanajiuza wazi wazi kabisa, hakuna hata haja ya utafiti.
Aisee thank you nimeelewa sasa! Wabongo siye kwa kugeuza maana ya vitu😒
 
Hivi serikali haijaona kweli hali ya telegram maana mle wanatuma picha live ni rahisi kuwakamata maana na location zinatajwa kabisa bila kusahau wanauza na video walizojirekodi, na bei zao zipo juu 20000 hadi 40000 na kuendelea na huduma unapata zote, bila kusahau kaka zetu wamejaa kwenye hayo magroup kununua hao wauza utamu
 
Hivi serikali haijaona kweli hali ya telegram maana mle wanatuma picha live ni rahisi kuwakamata maana na location zinatajwa kabisa bila kusahau wanauza na video walizojirekodi, na bei zao zipo juu 20000 hadi 40000 na kuendelea na huduma unapata zote, bila kusahau kaka zetu wamejaa kwenye hayo magroup kununua hao wauza utamu

Unataka serikali wafanyaje?
 
Binafsi nimefanikiwa kujiunga na hayo ma group, na nimekuwa na maswali kadhaa Naomba ni share

1. Una mlipa mdada kwa ajili ya mechi then yy ana rekodi ile mechi kwajili ya kuuza , Je mgongaji / mlipaji anapewa chochote ?
Kama ni mm sitoruhusu mechi yangu irekodiwe unless anipe chochote kitu au ka offer
 
Matapeli pia hawako nyuma, tena in wanaume wanajifanya mabinti. Ukituma nauli tu, umeliwa.
Ivi kumbe zile swagga zao za kwa nauli ni utapeli , iv na wale wanao sema room ipo mean gharama ya room ni juu ya mgongaji au yule manzi ...
 
Binafsi nimefanikiwa kujiunga na hayo ma group, na nimekuwa na maswali kadhaa Naomba ni share

1. Una mlipa mdada kwa ajili ya mechi then yy ana rekodi ile mechi kwajili ya kuuza , Je mgongaji / mlipaji anapewa chochote ?
Kama ni mm sitoruhusu mechi yangu irekodiwe unless anipe chochote kitu au ka offer
Kuna ambao huwa wanarekodi mechi? Duuhhh
 
Kuna ambao huwa wanarekodi mechi? Duuhhh
Ndio huwa wanatangaza pale nipo location (maana yake ndio yupo ktk mechi) so mtu anapiga video call anatazama mtu anavyo shonwa. Au mwingine anasema nauza video alizokuwa ana pewa dozi. Ss na mm ndio nika jiuliza hapa je mpaka anaji rekodi je mgongaji ana pewa nn cha kuruhusu viungo vyake vi mulikwe
 
Sijui niseme nini

But first ni hongera Kwa utafiti.

Labda niseme now hiyo biashara imeahamia Telegram zaidi.

Halafu wanafunzi wa vyuo hawajiuzi waziwazi sana ingawa nao wapo.

Next time weka profile kama ya mzungu ushangae zaidi.

Huko Telegram kama hujawahi kwenda basi ukienda hutaamini utakachoona
Kweli mkuu.
 
Kweli kabisa.
Ahsante sana mkuu kwa observation nzuri sana. Hiki kitu Wa Tanzania wengi hatuelewi bado. Mtu anakwambia, "unafanyia utafiti kitu ambacho ni kiko wazi", ukimuuliza ni asilimia ngapi ya wadada walio mitandaoni wanajiuza? Jibu lake litakua "wengi sana".

Anyways, siwalaumu.

Hahahahaha! Kuhusu wachunguzi wangu "kuliendeleza" kwa kweli tuliweka makubaliano kuwa hiyo hairuhusiwi na kwenye mikataba hao walisaini kukubali kuwa hilo halitatokea na iligundulika imetokea watapoteza kibarua, japokua siwezi kusema kwa uhakika asilimia 100 kuwa hakuna uwezekano wapo "walioliendeleza". Kama unavyoelewa kuwa ni ngumu mno kumchunga binadamu akitaka jambo lake.
 
Wakuu salama?

Kuanzia mwezi Septemba mwaka huu, niliongoza utafiti usio rasmi juu ya madai ya mabinti wa Kitanzania kujiuza kwenye mitandao ya kijamii ya Badoo, Tinder na Hitwe.

Maswali ya utafiti (Research questions):
1. Je, ni kweli kuwa mabinti wa Kitanzania walio katika mitandao ya Badoo, Tinder na Hitwe wanajiuza kimwili?

2. Je, mabinti wa Kitanzania wanaojiuza kimwili (kama wapo kulingana na majibu ya swali la kwanza hapo juu) katika mitandao ya badoo, tinder na hitwe ni wahitimu wa vyuo vikuu?

Malengo ya utafiti (objectives)
1. Kufahamu kama mabinti wa Kitanzania walio katika mitandao ya Badoo, Tinder na hitwe wanafanya biashara ya kuuza miili yao kwa matumizi ya ngono.

2. Kufahamu kama mabinti wa Kitanzania wanaojiuza katika mitandao ya badoo, Tinder na Hitwe (kama wapo) ni wahitimu wa vyuo vikuu?

Njia iliyotumika (Methodology)
Jumla ya Profiles 120 zenye majina na picha za mabinti kutoka mitandao ya badoo (40), tinder (40) na hitwe (40) walitumiwa meseji na mmoja wa wachunguzi wetu ambae alitengeneza 'profile' za kiume kwenye mitandao hiyo

Meseji ya kwanza ilikua ni "Hi mrembo!". Baada ya meseji hii kujibiwa na mhusika, maongezi yalikua yakiendelea kwa mchunguzi wetu kumwambia kuwa, " I wanna have some fun with you, how much will it cost me?"

"Profiles" zilikua zinachaguliwa "randomly" ambapo wachunguzi wetu walikua wanaongozwa na formula ambayo imesetiwa kabla ya kuanza zoezi kuchagua profiles za kuzitumia meseji in a random fashion.

Hitimisho la maongezi haya ni kwa mchunguzi wetu kufikia makubaliano na mhusika, na binti kutoa namba ya simu kwa mawasiliano zaidi ya namna ya kukutana. Kwa utafiti huu, binti kukubaliana BEI, muda na sehemu ya kukutana na mchunguzi wetu PAMOJA NA binti kutoa namba ya simu (ni lazima vitu hivi VYOTE vitimie), kulihesabika kama 'confirmatory test' ya binti kujiuza.

Kwa upande wa lengo la pili la utafiti huu kubaini kama wasichana wa Kitanzania wanaojiuza kwenye mitandao ya kijamii (kama wapo) ni wahitimu wa vyuo vikuu, kigezo kilichotumika ni ufahamu wa lugha ya kingereza kwa binti husika kwa kadri ya "chats" za mhusika na mchunguzi wetu (hii ina limitations zake, lakini ndio ilionekana kuwa ni njia ya haraka zaidi kubaini hilo kwa vigezo vya tafiti hii kwani inategemewa kuwa mhitimu wa chuo kikuu wa Kitanzania angalau aweze kumudu kingereza cha kuandika kwani ndio lugha ya kufundishia nchini kuanzia sekondari hadi chuo kikuu)

Matokeo (Results)
Kati ya meseji 120 zilizotumwa na wachunguzi wetu, meseji 109 zilipata majibu, na meseji 11 hazikujibiwa kabisa hadi mwisho wa utafiti. Meseji zilizojibiwa kwa kadri ya mitandao wa kijamii ni kama ifuatavyo; badoo (35), tinder (37) na hitwe (37).

Kati ya meseji 109 zilizojibiwa, iligundulika kuwa wasichana wa Kitanzania 92 (ambayo ni sawa na asilimia 84.4), WANAJIUZA kwani walikubaliana na mchunguzi wetu sehemu, simu na muda wa kukutana, pamoja na kutoa namba ya simu kwa mchunguzi wetu kwa mawasiliano zaidi.

Kati ya hao waliokubali, wasichana 74 (asilimia 80.4 ya waliokubali), walikua tayari kufika eneo la miadi kwa gharama zao, kwa ahadi ya kurejeshewa gharama hiyo na mchunguzi wetu.

Pia, kati ya wasichana 92 ambao walikidhi vigezo vya KUJIUZA kwa kadri ya utafiti huu, iligundulika kuwa 62, ambayo ni sawa na asilimia 67.4 hawamudu lugha ya kingereza (waliomba wachunguzi wetu wabadili lugha na kutumia kiswahili wakati wa chats)-Hivyo basi kuwa na uwezekano mkubwa kuwa hawakufika chuo kikuu.

Majadiliano (discussion)
Hii nakuachia wewe mwana JF

Hitimisho:
Asilimia 84 ya wasichana wa Kitanzania walio kwenye mitandao ya kijamii ya Badoo, Tinder na Hitwe wanajiuza kimwili, na kati ya hao asilimia 67 hawajafika elimu ya chuo kikuu (Pamoja na 'profiles' zao kuonyesha kuwa ni wahitimu au wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali nchini).

Mengineyo
Utafiti huu pia uligundua vitu vingine ambavyo havikwepo kwenye malengo ya awali ya utafiti kama vile:

1. Kati ya wasichana 92 ambao walikidhi vigezo vya kujiuza kwa kadri ya utafiti huu, 81 (asilimia 88) walikubali kuwa wanatoa huduma ya ngono kinyume cha maumbile walipoulizwa na wachunguzi wetu iwapo wanatoa huduma hiyo.

2. Bei ya wastani kwa wasichana wanaojiuza kwa kadri ya makubaliano na wachunguzi wetu ilikua kati ya shilingi 20,000-100,000 kwa usiku mmoja. (Wengine walikua wanatoa bei kwa bao na sio kwa usiku).

3. Kuna uwezekano mkubwa kuwa kuna wanaojiuza ambao eidha bado wako chini ya uangalizi wa wazazi/walezi au labda hata wake za watu? Kwa sababu kulikua na idadi ya kutosha ya mabinti ambao walisema kuwa wao hawawezi kutoa huduma ya kulala usiku mzima, lakini wanaweza kutoa game mida ya kuanza asubuhi hadi jioni (Hili ni eneo lingine la utafiti kubaini hawa wanaojiuza mitandao ni ni kina nani hasa?)

Je, wapo pia watoto wetu tunaoishi nao majumbani wanafanya hii biashara? pengine na wake za watu? Wazazi na walezi tuwe makini sana kujua nyendo za watoto wetu tunaoishi nao.

Mapungufu ya utafiti huu (limitations)
1. Kuna uwezekano wa kuwepo 'profiles' ambazo zina majina na picha za mabinti, ila ni za wanaume, hasa kwa wale ambao walikataa makubaliano ya kufika eneo la ahadi kukutana na mchunguzi wetu bila kutumiwa nauli-Utafiti huu haukuweza kueliminate hili kwa asilimia 100.

2. Kuna uwezekano pia ya baadhi ya mabinti ambao wanajua kingereza lakini hawakufika chuo kikuu (au kinyume chake pia), hivyo kwa lengo namba mbili la kubaini level ya elimu kwa kigezo cha kingereza inawezekana kutoa matokeo ambayo si uhalisia. Ila utafiti huu uwezo wake umeishia hapa.

Naomba kuwasilisha.
Sawa tumekuelewa
 
Back
Top Bottom