mrdrama
New Member
- Jun 7, 2023
- 1
- 1
Uwajibikaji ni maamuzi ya kutenda kitendo kwa ufasaha na ufanisi kwa muda fasaha na kwa nia na utayali wa kufanya kitendo kwa mfano tukazungumzia swala la uwajibikaji kwenye nyanja tofauti kama vile uwajibikaji kwenye familia,uwajibakaji kwenye swala la uongozi,uwajibikaji kwenye swala la elimu na kilimo kwa ujumla lakini Nyanja zote za uwajibikaji zinabebwa na Nyanja kuu moja ya uongozi kwani Nyanja zote zinategemea uongozi katika kusaidia uwajibikaji kila siku kwa binadamu kwani kutokuwa na uwajibikaji kwenye swala la uongozi inapelekea jamii nzima kutowajibika kwenye nyanja zao pia uwajibikaji huna matokeo chanya na hasi katika jamii furani pia uwajibikaji hunasababishwa na sababu mbalimbali katika katika nyanja tofauti tofauti tukizungumzia nyanja kuu ya uongozi tunaona kiongozi kutokuwa muajibikaji inasabishwa na sababu zifuatazo:•
Rushwa ni kitendo cha kutumia mali za selekali na mali za umma kwa matumizi binafsi hivyo basi inapelekea kiongozi kutokuwa muhajibikaji kwani selikali ili kuamini hapa sanasana tunazungumzia kwenye swala la matokeo ya kula kwenye swala hili ndo tunapoona viongozi wengi wanashidwa kuwa wawajibikaji kwani wamepewa ongo ili kufanikisha swala ambalo wamepewa na jamii iliyomuoamini katika uwandaaji wa kula lakini kiongozi anakwenda nje kabisa na katiba ya nchi na kujiandalia katiba yake mwenyewe ambayo inamfanya kufanya mambo ya ovyo sababu ya rushwa na bila kuangalia kipi kitakachofata baada ya jamii kujua kitu anachokifanya hapo baadae mana tunajua kabisa rushwa ni chanzo cha migogoro rushwa pia ni chanzo cha jamii kutoendelea kiuchumi hivyo basi kiongozi kama kiongozi anapaswa kuwa muajibikaji katika nyanja zake.
Kulewa kwa madalaka tukiangali kwenye swala la kulewa kwa malaka tunazungumzia uzembe na kutowajibika kwa kiongozi kwa kuangalia ubabe chuki juu ya ngazi yake hivyo basi kulewa kwa madalaka kunamfanya kiongozi kutokuwa muajibikaji kwanini tulewa kwa madalaka ingali selikali ni watu na mtu si yeye huyo kiongozi pekee aliyekuwa madalakani ni ya watu wote hivyo basi kiongozi anatakiwa kuwa muajibikaji kwa selikali ili kuwa ungoza watu kwa usahihi wa hali ya juu.
Hivyo basi selikali inatakiwa kufanya majukumu yake kwa uwajibikaji wa hali ya juu ili kuepushana na matokeo hasi yanayopatikana baada ya kiongozi kutokuwa muajibikaji. Tukizungumzia swala la “utawala bora“ tunazungumzia neno “amani”, “furaha” ,“upendo” na “heshima” hivyo basi jambo jema kwa jamii ni kuona utawala bora siku zote ili binadamu tu ishi kwa amani upendo na heshima lakini patakapo tokea mambo ya hovyo ndio panapo pelekea swala la viongozi kutokuwa wawajibikaji ata tukiangalia jamii nyingi viongozi si wawajibikaji hivyo basi yangu ni hayo tu kwenye swala la uwajibikaji na utawala bora ila cha kuzingatia uwajibikaji ndio unaopelekea utawala bora katika jamii hivyo basi selikali inatakiwa kufanya mambo yake kwa uwajibikaji ili utawala uwe bora zaidi”.

Upvote
2