Matokeo ya VPL: Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao mawili kwa moja dhidi ya Dodoma Jiji FC

Naona Chikwende na Miraji Athuman watakuja kuokoa Jahazi 2nd Half. Uwanja unafanya Lunyasi washindwe kumiliki mpira vzuri
 
Update;

KMC wanaongoza uwanja wa Uhuru Dar es salaam kwa bao la Anthony Matteo

KMC 1-0 Namungo FC
 
Mohamed Hussein anapiga krosiiiiiiii, golikipa Kalambo anapangua na kuwa kona kuelekea Dodoma

Inapigwaaaa, wanaondoa Dodoma Jiji
 
Wanapigwa Presha Dodoma FC, kona tena kuelekea kwao, inapigwaaaa

Wanaokoa Dodoma Jiji
 
55' Morrisoon weeee, anapiga shutiiiiii dhaifu, na Kalambo anadaka, ilikuwa hatari sana

Dodoma Jiji FC 1-1 Simba SC
 
Inapigwaaaa Krosiiiiiiii upande wa Simba Manula anacheza vizuri sana daaah

Ilikuwa hatari sana lango la Simba
 
Free Kick kuelekea Dodoma Jiji FC, Miquissone anapigaaaa

Wanaokoa Dodoma Jiji, na mpira ni wa kurusha, unarushwa mabeki wanakataa

Taddeo Lwanga yupo chini baada ya kupata rabsha
 
Gooooo. Perfect Chikwende akiwa mbele kidogo ya katikati ya uwanja anampigia pass Wakili msomi aliye upande wa kulia(upande wa namba7). Wakili msomi anaingia kwenye 18. Shuti,wayaaaa. Dom 1 Simba 2
 
72' Rally Bwalya hatari sana, ameteshwa mtu kwa kanzu maridadi

Bernard Morrison ametoka na ameingia Mzamir upande wa Simba
 
Sijawahi kuna pamoja na ukubwa wa team kama Barca, Real, Man, Liver sijui city na wengine wengi wakaenda ugenini kucheza halafu watu waka support team ya wageni. Wenzetu mapenzi wanayo na team kubwa lakini full support team zao za nyumbani.

Kwa hili tutabaki kuwa watumwa wa team hizi mbili. Kidogo miaka ile ya Pamba, CDA, Reli sijui Tukuyu hata RTC Kigoma team zilikuwa zinapendwa kwao.

Penda Simba na Yanga sababu ya ukongwe ila wakija nyumbani kwenu shangilia team ya nyumbani nchi zote ndio utamaduni. Najuwa nitatukanwa humu ila ndio ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…