Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakika ya ngapi mkuuWanapigwa Presha Dodoma FC, kona tena kuelekea kwao, inapigwaaaa
Wanaokoa Dodoma Jiji
Hawajawahi kufungwa kwenye uwanja wao wa nyumbani. Watajilinda hadi waondoke na point moja.Dodoma Jiji FC wameanza kulala mapema kupoteza muda..!
Refa awe makini Otherwise....
Daah hatari sana56' Dodoma Jiji FC 1-1 Simba SC