Kwa nini huwa hatuongelei issues zinazohusu elimu mpaka matokeo yatoke,je Ni kweli kila mtu anaweza kuwa mtaalamu kwenye Mambo yanahusu elimu?,ualimu Ni mgumu sana ,watu wa fani nyingine wawe na heshima na fani ya ualimu,garbage input gargabe out put,walimu huwa wanalaumiwa sana kwenye output lakini hakuna hata mtu mmja ambaye huwa anajadili hasa kusuhu mfumo mzima ama process yenyewe na mchakato mzima'Tujadihi hasa kuhusu the proces of educating ,kabla ya out put,walimu wa Tanzania wanalaumiwa sana na wapuuuzi kwa sababu za kipuuzi,pamoja na wapuuuzi,Kama unafikiri kufundishwa Ni rahisi Anza na mtoto wako nyumbani