GE2025 Matrekta tuliyoahidiwa yameshuka kutoka milioni 10 hadi elfu 10. CCM mnatuchanganya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Ikumbukwe Agosti 31, 2025 Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo akiwa wilayani Chemba, Dodoma. Sasa imekuaje tena?
======================================

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa wafugaji wa Mkoa wa Tabora kuhakikisha mifugo yao inapelekwa kwenye chanjo na utambuzi ili kuiwezesha Tanzania kufikia viwango vinavyokubalika kimataifa katika soko la mifugo na bidhaa zake. Akizungumza Jumatano, Septemba 10, 2025, mbele ya maelfu ya wananchi wa Igunga, Dkt. Samia amesema hatua hiyo ni muhimu kwa maendeleo ya sekta ya mifugo na kuinua kipato cha wananchi kupitia mauzo ya ndani na nje ya nchi. Aidha, amewahakikishia wananchi kuwa endapo watampa ridhaa ya kuendelea kuiongoza nchi kwa kipindi cha pili, serikali yake itaendeleza mpango wa ruzuku kwa wakulima na wafugaji pamoja na kuimarisha huduma za pembejeo na vifaa vya kisasa.

“Tunapoelekea mbele, mtakapotupa ridhaa, tutakwenda kupeleka matrekta ya mikopo elfu kumi kote nchini Tanzania,” amesema Dkt. Samia. Akizungumzia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020/25, amebainisha kuwa serikali ya awamu ya sita imepeleka tani 876 za mbolea ya ruzuku katika Wilaya ya Igunga pamoja na matrekta 38 yaliyotolewa kwa wakulima ili kuongeza tija katika kilimo. Dkt. Samia ameongeza kuwa serikali yake itaendelea kujenga majosho, kuchimba mabwawa na kutoa ruzuku za chanjo kwa mifugo ili kuongeza thamani ya sekta ya kilimo na mifugo nchini, endapo atapata ridhaa ya kuchaguliwa tena katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Unamaliza bundle kumsikiliiza huyu.maza una.moyo aisee
 
Kuna wakati akili inajisahau inasema ukweli hasa ukiwa hauna uzoefu na uongo we ngoja tu afike mwanza uskie trekta ngapi
 
ni wastani wa matrekta 322 kila mkoa au trekta 71 kila wilaya .
 
Mh!!!
 
Attachments

  • Screenshot_20211029-110122.png
    Screenshot_20211029-110122.png
    561.9 KB · Views: 42

Kichwa boya hiki ndani kifuu cha nazi😀
 
Back
Top Bottom