Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

Mwambieni avae barakoa...corona yake SI ALISEMA tupigwe lockdown na tuchanjwe Kwa lazima.
Kwa point hyo tu ndipo nilipomshusha hadhi huyu mwamba ,kwani nilijua anayasema hayo Kwa Ajili ya tumbo lake.
 
Mchagga hawezi kuacha duka lake au kiarano aende kumpokea Mbowe.

Kwanza huku watu wanaabudu went pesa tu.

Na miji imejaa wazee.

Hizi Mbwembwe anazofanya Mbowe siyo utamaduni kabisa
Wivu na nogwa zimewajaa😡😡
 
Siyo hivyo unavyodhani.Kuna kipindi weye na mazuzu wenzio akina nani sijui,huwa mnachotoa kama maoni JF mnajidhalilisha.
KUMBUKA.
Hatuna nchi nyingine zaidi ya hii tunayoiekezea, Tanzania.Ninyi huwa,kwa mawazo yenu,mnadhani Tanzania ni ninyi pekee.Muwe mnatoa mawazo ya kujenga na si kufarakanisha.Mjirekebishe.
Mawazo ya kufarakanisha ni kama yapi?

Weka mfano wa wazo la kufarakanisha nililotoa

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Luteni Denis Urio anavyowaona hao akina Adamoo sijui anajisikiaje! yaani jamaa walikuwa wanafanya kazi halal, wakawapa kesi ya ugaidi ili wapotee kabisa, but leo wanaendelea na kazi yao.
Mungu hamtupi mja wake
 
Day2: MAANDALIZINI YA KUMPOKEA MHE FREEMAN MBOWE KANISANI YAANZA
---

 
LIVE: MHE FREEMAN MBOWE AKIWA KWENYE IBADA YA SHUKRANI KATIKA KANISA LA KKKT NSHARA

 
Back
Top Bottom