Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Pole sana naona unateseka sana na habari za Mwamba MboweHaupo serious mkuu unajua watu mil 1 wapoje mkuu? Yaani uchukue watu wa Arusha mjini wote na uzidishe Mara mbili maana Arusha mjini wanakadiriwa kuwa Laki 5.9.
Ushabiki uendane na matumizi sahihi ya akili