Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

Gaidi lina nguvu sana, limeamua kuharibu kabisa siku 365 za Mama.!
 
Inaonekana alikua anaupenda huo mcheza. Kuna siku aliwauliza kama mnataka kupanuliwa.

Wewe ulipanuliwa wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waulize machadema wenzio ambao hata wakishindwa kusimamiha wanamlaumu jiwe,

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Manka ni dada yako wa mwisho.Acha kubisha kwa kutumia kiuno weye fukara.Mbowe yupo kwake anakula loshoroo.Weye waite wasugunsu(sukuma gang)wakupe makopa,michembe,masangu au matobholwa uzuie kufa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebana eee!

Hili povu vipi tena manka?



Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
===
View attachment 2156574
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Freeman Mbowe akisaini kitabu katika ofisi yake aliyokuwa akiitumia kuwahudumia wananchi wa Jimbo la Hai akiwa mbunge wa jimbo hilo.
Code:
Chanzo:
https://twitter.com/ChademaTz/status/1505127335019917312
===
View attachment 2156566
"Mwenyekiti Mhe Freeman Mbowe akiteta jambo na mwenyekiti wa wilaya ya Moshi Mjini Raymond Mboya muda mfupi baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Mwenyekiti leo Machi 19, 2022 anaelekea nyumbani kwake wilaya ya Hai, tangu kufutiwa mashtaka ya Ugaidi."
===
===
===
View attachment 2156663

===
View attachment 2156503

View attachment 2156504
Kuondoa dhana kwamba hiki chama kina harufu kubwa ya ukabila, mapokezi hayo yangeandaliwa nje ya mko wa Kilimanjaro ingependeza. Ni ushauri tu.
 
Tanzania Ina watu wa ovyo Sana mmetawaliwa na roho mbaya roho za chuki kuombeana mabaya na ndio maana hamuendelei nyerere alikosea Sana kuwanyima elimu

Nawaza kwani Kama wewe ni ccm
Ndio Maana nimehama kwenu,,chuki chuki tuuu,,Mama kuongea na Mbowe;;;Watu wamenuna..
 
Mbowe anakubalika. Nadhani umefika muda sasa ikimpendeza rais wetu Samia amteue Mbowe kuwa mwenyekiti wa bodi ya parole kwasababu kwa muda aliokaa gerezani ameshajua hali ilivyo huko. Tafadhali mwenyekiti wa CCM naomba umteue Ndugu Mbowe kuwa mwenyekiti wa bodi ya parole.
 
Back
Top Bottom