Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hapo ni Nainokanoka, wilaya ya Ngorongoro.Hapo ni wapi ?, naona wamasai wengi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni Nainokanoka, wilaya ya Ngorongoro.Hapo ni wapi ?, naona wamasai wengi sana
Kama mlivyopiga picha mlipokuwa mnazunguusha maiti yamungu wenu wa ChaltlePicha zimepgwa kiujanja ujanja ili ionekane ni nyomi
Nahisi una roho ya kutu hata unapoona ndugu, marafiki na jamaa zako wakipata! na Roho hiyo ndio inakufanya usifanikiwe kimaisha hadi leo!Picha zimepgwa kiujanja ujanja ili ionekane ni nyomi
Kuna mtu ninatamani Sana afufuke. Kungekuweko na uwezekano wa kumfufua marehemu ningelipia afufuliwe awe mzima wa Afya ayaoene.
Tumuombe aende akapige hizo picha yeye.Maana ana kamera pana ya inchi "salasini na tisa"!Kama mlivyopiga picha mlipokuwa mnazunguusha maiti yamungu wenu wa Chaltle
Wachagga wametawala nchi hii tangu enzi ya Nyerere mpaka sasa, yule mshamba aliwajaribu akaipata fresh ya shamba!Naona mmejikusanya na empire yenu!
Mtaishia kutawala hapo machame tu
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
sukuma gang hawaamini mkuu meza imepinduka .Tena hizo chuki zao watakufa huku vitu vigumu vimeingia kwenye mifumo yao ya kutolea taka.
Hivi Kingai anaweza pata mapokezi haya hata kijijini kwao tu?
Mshamba wako inaonekana alikuwa anakukosha sana! Maana hujawahi kuacha kumtaja!Wachagga wametawala nchi hii tangu enzi ya Nyerere mpaka sasa, yule mshamba aliwajaribu akaipata fresh ya shamba!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuona manka umepanic hatari!Unaweza kuendelea kulinda ligasi ya mwendakuzimu bila shobo. Kinyume na hapo nakupakata dakika sifuri
Mshamba wako inaonekana alikuwa anakukosha sana! Maana hujawahi kuacha kumtaja!
Hao wataishia kutawala hapo machame tu, pale juu wasahau
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hapa chato ni mtakuja,sawa sukuma gang . usiogope Mwamba akitoka Machame atakuja kuhani msiba hapo chato. Stay tuned mambo ni fire .
Kapige wewe kiweledi watokee Mbowe na walinzi wake pekee.Picha zimepgwa kiujanja ujanja ili ionekane ni nyomi
Huyo kashasalimu amri kwa hangaya!Ngosha huyu jamaa kapewa kibali ya haya mapokezi kwanza? Kamanda Siro tafadhali fanya kazi yako. Yule gaidi ambao polisi walikuwa na ushahidi wa kutosha yuko mtaani na anaendelea kuwafundisha wananchi ugaidi.
Labda apokelewe na misukuleHivi Kingai anaweza pata mapokezi haya hata kijijini kwao tu?