Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Mkuu chadema na uchaga ni damu damu!Utajitesa bure Chadema itaendelea kusimama, wachaga na makabila wataendelea kusimama na Tanzania itasimama. Kama kosa ni kukataa kudhulumiwa acha wanachadema waonekane wakabila. Chadema IPO nchi nzima
Ona hilo bango ni aibu tupu!
Nyerere aliona mbali sana na uoni wake utaishi milele!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app