Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

Homeboy Urio, King@i na Mahita mmeyaona mapokezi ya gaidi ?.
Mungu fundi sana yaan Leo magufuli yuko mavumbini, Sabaya kala mvua harafu kishujaa Mwamba anapokelewa nyumbani . kama Rambo vile .
 
Alisikika Kikwete " Nampongeza kwa unhindered wa kishindo kweeeli huyu mgombea wa ccm "

Mzee kwa tudongo yule.Alijua uhuni waliofanya sukuma gang
Ona sasa
 
Magufuli aliwalisha baadhi ya wan-CCM roho mbaya sana.Yani Mbowe kurudi nyumbani kwake wanachukia?Mmefikia kiwango hicho?Once vimbwenerehi,always vimbwenerehi!
 
Tanzania Ina watu wa ovyo Sana mmetawaliwa na roho mbaya roho za chuki kuombeana mabaya na ndio maana hamuendelei nyerere alikosea Sana kuwanyima elimu

Nawaza kwani Kama wewe ni ccm
Tena hizo chuki zao watakufa huku vitu vigumu vimeingia kwenye mifumo yao ya kutolea taka.
 
Back
Top Bottom