Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

Zanku, njoo usome huku, uzi wenye facts!mara hooo watachinja.....mara hooo wanataka kumtumia mbunge kwenye mapokezi...shame on you..Mr.Mbowe SIO gaidi
 
===
View attachment 2156574
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Freeman Mbowe akisaini kitabu katika ofisi yake aliyokuwa akiitumia kuwahudumia wananchi wa Jimbo la Hai akiwa mbunge wa jimbo hilo
===
View attachment 2156566
"Mwenyekiti Mhe Freeman Mbowe akiteta jambo na mwenyekiti wa wilaya ya Moshi Mjini Raymond Mboya muda mfupi baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Mwenyekiti leo Machi 19, 2022 anaelekea nyumbani kwake wilaya ya Hai, tangu kufutiwa mashtaka ya Ugaidi."
===
===
===
===
View attachment 2156503

View attachment 2156504
hao ni walinzi wnafiki kweli,walikuwa wapi kumlinda mwenyekiti asipige mweleka baada ya kulewa konyagi kule Dodoma?
 
1647688891016.jpeg


1647688910357.jpeg
 
Back
Top Bottom