Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

Picha zimepgwa kiujanja ujanja ili ionekane ni nyomi
1647686134903.jpeg
 
View attachment 2156571
===
View attachment 2156574
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.#freemanmbowetz muda huu akisaini kitabu katika ofisi yake aliyokuwa akiitumia kuwahudumia wananchi wa Jimbo la Hai akiwa mbunge wa jimbo hilo
===
View attachment 2156566
"Mwenyekiti Mhe Freeman Mbowe akiteta jambo na mwenyekiti wa wilaya ya Moshi Mjini Raymond Mboya muda mfupi baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Mwenyekiti leo Machi 19, 2022 anaelekea nyumbani kwake wilaya ya Hai, tangu kufutiwa mashtaka ya Ugaidi."
===
===
View attachment 2156503

View attachment 2156504

Itakuwa habari mbaya mno kwa wanalumumba
 
View attachment 2156571
===
View attachment 2156574
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Freeman Mbowe akisaini kitabu katika ofisi yake aliyokuwa akiitumia kuwahudumia wananchi wa Jimbo la Hai akiwa mbunge wa jimbo hilo
===
View attachment 2156566
"Mwenyekiti Mhe Freeman Mbowe akiteta jambo na mwenyekiti wa wilaya ya Moshi Mjini Raymond Mboya muda mfupi baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Mwenyekiti leo Machi 19, 2022 anaelekea nyumbani kwake wilaya ya Hai, tangu kufutiwa mashtaka ya Ugaidi."
===
===
View attachment 2156503

View attachment 2156504
Huyu ni nabii anayeheshimika nyumbani.
 
Back
Top Bottom