Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

Mwambieni avae barakoa...corona yake SI ALISEMA tupigwe lockdown na tuchanjwe Kwa lazima.
Kwa point hyo tu ndipo nilipomshusha hadhi huyu mwamba ,kwani nilijua anayasema hayo Kwa Ajili ya tumbo lake.
 
Mchagga hawezi kuacha duka lake au kiarano aende kumpokea Mbowe.

Kwanza huku watu wanaabudu went pesa tu.

Na miji imejaa wazee.

Hizi Mbwembwe anazofanya Mbowe siyo utamaduni kabisa
Wivu na nogwa zimewajaa😡😡
 
Mawazo ya kufarakanisha ni kama yapi?

Weka mfano wa wazo la kufarakanisha nililotoa

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Luteni Denis Urio anavyowaona hao akina Adamoo sijui anajisikiaje! yaani jamaa walikuwa wanafanya kazi halal, wakawapa kesi ya ugaidi ili wapotee kabisa, but leo wanaendelea na kazi yao.
Mungu hamtupi mja wake
 
Day2: MAANDALIZINI YA KUMPOKEA MHE FREEMAN MBOWE KANISANI YAANZA
---
Your browser is not able to display this video.

 
LIVE: MHE FREEMAN MBOWE AKIWA KWENYE IBADA YA SHUKRANI KATIKA KANISA LA KKKT NSHARA

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…