Zanzibar 2020 MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

anayetukana adhabu yake ni risasi?
Si sawa kwa raia kushambuliwa kwa risasi, nakiri hapa hiyo si sawa. Lakini kuna mazingira askari au mwanajeshi kupiga raia risasi anaruhusiwa, sasa kama kuna raia wamepigwa risasi lazima wamechinganya wenyewe kwakutotii sheria.
 
Vijana wa kizanzibari bwana, kwa kweli wana kazi....ukishazoea kula urojo na hauna kitu kichwani zaidi ya kukariri Qur'an matokeo yake ndiyo haya. unachukua mawe na kutupia polisi kudhani ndiyo bunduki. Waone walivyochoka, utafikiri wote wanabwia unga.
 
Sawa yawezakuwa amekosea. Je sheria inasemaje?
Kazi za Jeshi la Wananchi ni zipi ?
 
Acha uzwazwa wewe, kama hujui basi ushoga umeshamiri sana Bara. Kama tatizo ni dini si kila mtu na dini yake, kakariri na wewe Biblia kwani kuna mtu kakukataza. Kama ni vijana hawataki kazi kwani wapi walilazimisha kuajiriwa bara?
Kumbe nawe ni miongoni mwa mnaosema waarabu wabaya, then mwisho wa siku mnawakimbilia hao hao kutaka mikopo! Tumia akili iliyomo kichwani mwako kufikiria na sio kutumia kichwa chako kufugia nywele tu! Mambo yamebadilika na kizazi cha mwaka 47 sio hiki cha 2000.
 
Zanzibar tumeshaamua, ni Maalim Seif kama kawaida, na safari hii kwa kishindo kizito zaidi. Tutafundisha wabara namna ya kupambana kisiasa. Sisi ni maneno na vitendo.
Wasivyo na aibu wasijefuta matokeo tena
 
Reactions: BAK
Mkuu kumbuka 2015 pia ilikuwa hivi halafu Jecha akaibuka. Mzuieni Jecha asifanye majambo yake.

Zanzibar tumeshaamua, ni Maalim Seif kama kawaida, na safari hii kwa kishindo kizito zaidi. Tutafundisha wabara namna ya kupambana kisiasa. Sisi ni maneno na vitendo.
 
Zanzibar tumeshaamua, ni Maalim Seif kama kawaida, na safari hii kwa kishindo kizito zaidi. Tutafundisha wabara namna ya kupambana kisiasa. Sisi ni maneno na vitendo.
Mme toa wapi hizi? Source plz maana ZECMM sidhani kama wanayo hii teh teh teh
 
Hongera Maalim Seif. Ukiachilia Waislamu, wa Kristo wote wako nyuma yako na wa nakutakia kila la heri.

Hongera Maalim Seif Rais mpya wa Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…