Mwamba wa Kifo
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 268
- 164
Si sawa kwa raia kushambuliwa kwa risasi, nakiri hapa hiyo si sawa. Lakini kuna mazingira askari au mwanajeshi kupiga raia risasi anaruhusiwa, sasa kama kuna raia wamepigwa risasi lazima wamechinganya wenyewe kwakutotii sheria.anayetukana adhabu yake ni risasi?