Zanzibar 2020 MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

Bado pia sioni kama askari wana mamlaka ya kuchukua sheria mkononi, wangemfungulia mashtaka kwa kosa hili kwa kulingana na vifungu vya sheria
Kwanza tokea lini jeshi la kulinda mipaka ya nchi likabadilika kuwa wasimamizi wa uchaguzi! Halafu sisi wananchi tunanyamazia mambo ya mental case kama hayo kama mazuzu vile
 
Anaye uliza swali ni huyu ninaye mfahamu ama mwengine ama kuna mtu amemwandikia,nilitaraji angetoa hisia zake za sikuzote.
We una matatizo sana. Kwa hiyo mtu kutaka sheria ifuate mkondo ni kosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…