Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Kuna mahali kama Taifa tunapatamani kweli kufika, ila tunaenda vizuri sana, tutapafika tu! Dola na uongozi kazaneni tumekaribia kupafika, ni juhudi kidogo tu zinatakiwa mwishoni hapa.
Kwani waliompiga risasi akwelina hadi mauti yakamkuta walikuwa na sababu gani?Policcm ni wauwaji tu na hufurahia mauaji ya watanzania wasio na hatia.
Maalim Seif yu wapi au kwatanguliza wenziwe tu!? Mkiwachokoza polisi mtaipata FRESH! Hivi mkingoja kesho (28/10/2020) ili mpige kura itakuwaje!?View attachment 1612694
Video ikionyesha wananchi wakiwarushia mawe askari visiwani Zanzibar
View attachment 1612678
Video ikiwaonyesha askari wakimshushia kipigo Mwananchi kwa madai ya kuwarushia maneno
View attachment 1613114
View attachment 1613116
View attachment 1613118
View attachment 1613119
View attachment 1613113
Police ndo huwa chanzo cha vurugu.Maalim
Maalim Seif yu wapi au kwatanguliza wenziwe tu!? Mkiwachokoza polisi mtaipata FRESH! Hivi mkingoja kesho (28/10/2020) ili mpige kura itakuwaje!?
Huo ni utaratibu tu uliowekwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, una ubaya gani!? Mbona hao mnaowaamini sana, USA, wanapiga na wameshapiga MAKURA mengi tu ya uchaguzi wao wa Rais wa tarehe 03/11/2020. Mbona hamwashangai, nyie vipi?Police ndo huwa chanzo cha vurugu.
Kwann kura zipigwe siku mbili
Jukumu la Askari ni kusimamia amani hakuna watu waelewa Kama watz wanapowekewa utaratibu uufuata. Ni ajabu Sana kwa vyombo vya dola kuingilia mambo ya siasa iwaache wanasiasa wanyukane wenyewe
Huu ni kama uchochezi wa Lissu! Vita iko wapi hapa!?Unajua vita au unasema tu?Katu Askari hawawezi shinda Vita na raia,
Utaratibu usiokubaliwa na wengi si utaratibu wa haki.Huo ni utaratibu tu uliowekwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, una ubaya gani!? Mbona hao mnaowaamini sana, USA, wanapiga na wameshapiga MAKURA mengi tu ya uchaguzi wao wa Rais wa tarehe 03/11/2020. Mbona hamwashangai, nyie vipi?
Nasema huo ni utaratibu tu, ni kama wa USA! Idadi ya watu siyo hoja hapa, hoja ni nini kifanyike ili kukamilisha zoezi letu vizuri.Utaratibu usiokubaliwa na wengi si utaratibu wa haki.
Wa znz awafiki hata milioni 1 why siku mbili Hali bara watu zaidi ya milioni 60 siku moja
Unahisi alichokifanya kinastahili adhabu aliyopewa? Hakuna mahakama huko?Huyo jamaa ni mpuuzi, we angalia hapo hiyo video yote katika hao wote wamemchomoa yeye tu. Huwezi kupigwa bila sababu
View attachment 1612680
Napenda sana maneno yenu wafaidika wa hii nchi, huwa mna busara sanaWatanzania hasa huko visiwanio zanzibar. Tunapoiharibu hii nchi kwa kutaka kuwafurahisha watu tutaumia pasipo faida. Ukiangalia hao wanao andamana na vigoma ni watoto wadogo ambao hata kura sidhani kama wanapiga. Wataumia bure hao wanaowapigania wamejificha majumbani na familia zao.
Why Askari wanachokoza raia huoni kama wana amsha hasira za raiaHuu ni kama uchochezi wa Lissu! Vita iko wapi hapa!?Unajua vita au unasema tu?
Kwa nini wewe kijana ukubali kutumiwa? Je wewe unayekubali kutumiwa unafanya CBA?Cost Benefit Analysis is not only for the Citizens. Je, Dola wamefanya hiyo CBA kabla ya kuanza kuwafyatulia Risasi za Moto raia wasio hatia?
Je, hivi siku hizi Polisi wetu hawana Mabomu ya Machozi na Maji ya Washawasha??? KWANINI WANATUMIA RISASI ZA MOTO?
anayetukana adhabu yake ni risasi?Je, ni sawa kutukana Jeshi?
Huo ni utaratibu tu uliowekwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, una ubaya gani!? Mbona hao mnaowaamini sana, USA, wanapiga na wameshapiga MAKURA mengi tu ya uchaguzi wao wa Rais wa tarehe 03/11/2020. Mbona hamwashangai, nyie vipi?
Huo ni utaratibu tu uliowekwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, una ubaya gani!? Mbona hao mnaowaamini sana, USA, wanapiga na wameshapiga MAKURA mengi tu ya uchaguzi wao wa Rais wa tarehe 03/11/2020. Mbona hamwashangai, nyie vipi?