mkoa wa mtwara wenye wapigakura 783000,magufuli anaongoza kwa kura 25984 ambayo ni sawa na asilimia 63.07 huku akifatiwa na lowassa mwenye kura 15211 sawa na asilimia 36.9 tofauti ya kura kati ya magufuli na lowassa ni kura 10773 sawa na asilimia 26.1,hii ni tofauti ndogo sana kwa ccm kujihakikishia ushindi,hasa kwenye huu mkoa wenye idadi ndogo ya wapiga kura ukilinganisha na ARUSHA,DAR,MBEYA,MWANZA,MOSHI,KILIMANJARO,NA TANGA ambapo kwa matokeo yasiyo rasmi yanaonyesha kuwa lowassa anaongoza kwa idadi kubwa ya kura ukilinganisha na hizo kura 10773 ambazo ccm inaongoza mpaka sasa