Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Hivi kura za Mbeya zitatosha kukupa viti maalum?
 
Ongelea na matokeo ya arusha, mwanza, mbeya, kilimanjaro
 
Uwe na akiba ya maneno!

Alhamisi saa 3 utatafuta pa kufichia sura yako


 
Juliana Shonza kama ulikosa cheo chochote kile awamu ya JK basi hujipata cheo chochote ndani na nje ya chama hata ugawe tigo
 
Last edited by a moderator:
Zanzibar wapiga kura lakini wabunge 70 na Rais juu mwenye hadhi sawa na Rais wa Magogoni.

First mimi napinga hiyo set up
halafu huko ni issues za muungano

ya Kilimanjaro sio muungano why wawe na wabunge weengi kuliko Dar?au tabora?
 
Habari ndo hio mpaka sasa CCM kuikomboa nyamagana, ukerewe, ilemela, lindi mjini, kigoma kusini, kasulu mjini, kasulu vijijini: Bado mengine yanakombolewa
 
Khaa!! Humu sasa hakuna issues za maana bora niende MMU labda nitaokoteza kitu 😎
 
habari ndo hio mpaka sasa ccm kuikomboa nyamagana, ukerewe, ilemela, lindi mjini, kigoma kusini, kasulu mjini, kasulu vijijini: Bado mengine yanakombolewa

na wao pia wamechapwa kilwa kusini, kaskazini, utete na kibiti
 
Ila utambue huko Kigoma jimbo la Christopher Chiza(CCM) limechukuliwa na CHADEMA.
 
Habari ndo hio mpaka sasa CCM kuikomboa nyamagana, ukerewe, ilemela, lindi mjini, kigoma kusini, kasulu mjini, kasulu vijijini: Bado mengine yanakombolewa

Watu walizani kura zinapigiwa hapa jf,kumbe tunaopita jf ni kakundi kadogo kupita watanzania wengi wasiokua hata smartphone.na kipindi hk hakuna aloibiwa kura
 
Kiukweli Watanzania tutakuja jutia uamuzi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…