Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Ongelea na matokeo ya arusha, mwanza, mbeya, kilimanjaro
 
Uwe na akiba ya maneno!

Alhamisi saa 3 utatafuta pa kufichia sura yako


Matokeo yameendelea kutangazwa katika vyombo mbalimbali vya habari na hata kwenye mitandao ya kijamii.,kila yanavyoendelea kutangazwa lipo kundi kati yetu linapata faraja zaidi na lingine linapata maumivu na dhahama, lakini ndivyo inavyokuwa katika kila ushindani lazima apatikane mshindi...na ndicho kinachoendelea, tunaelekea kumpata mshindi wa Uchaguzi huu mkuu kati ya CCM (chama tawala na wapinzani)

Lakini lipo jambo nadhani napaswa kulisema hapa, hili linalohusu watu kutangaza matokeo ya uongo na hata wengine kujitangaza washindi, kumekuwepo na hali hii kuanzia jana, ambapo washabiki, wapiga debe, wapiga kampeni wamekuwa wakitangaza ushindi kwa wagombea wao na hata wagombea wenyewe baadhi wakijitangaza nje ya utaratibu halali tuliokubaliana sote kwa pamoja.

Nadhani watu hawa (kutoka CCM na hata Upinzani) hawajaelewa ama wanapuuza athari inayoweza kusababishwa na maneno yao, ama kitendo chao hiko cha kujitangaza....,wanasahau kuwa FITNA kwa kawaida huwa imelala inatafuta mtu wa kuiamsha tu, na wanachokifanya viongozi wangu hawa ni kuiamsha FITNA.

Binafsi nitoe wito kwa viongozi, wanachama wenzangu na wakereketwa wa CCM pamoja na wale ndugu zangu wa UKAWA (pamoja na kuwa jahazi lenu linazama lakini gharama ya DAMU ni kubwa mno kuliko kuacha jahazi hilo litopee katika maji, sababu ni moja tu, mlipata nahodha wa hovyo, amewazamisha, siku nyingine jifunzeni kisha njooni uwanjani lakini sio kwa VURUGU bali kwa nguvu ya UMMA inayothibiti kwenye sanduku la kura)

Ni kwa bahati mbaya tu, kuwa siku hizi mmesahau nguvu ya UMMA na mnaamini zaidi katika nguvu ya NOTI.,poleni lakini ndio mambo, mkikua mtaacha. Tuendelee kuhesabu kura kwa AMANI na UTULIVU, hizo ndio NGAO zetu..

UKAWA, Mnahesabu lakini..??? LOL.
 
Juliana Shonza kama ulikosa cheo chochote kile awamu ya JK basi hujipata cheo chochote ndani na nje ya chama hata ugawe tigo
 
Last edited by a moderator:
Zanzibar wapiga kura lakini wabunge 70 na Rais juu mwenye hadhi sawa na Rais wa Magogoni.

First mimi napinga hiyo set up
halafu huko ni issues za muungano

ya Kilimanjaro sio muungano why wawe na wabunge weengi kuliko Dar?au tabora?
 
Habari ndo hio mpaka sasa CCM kuikomboa nyamagana, ukerewe, ilemela, lindi mjini, kigoma kusini, kasulu mjini, kasulu vijijini: Bado mengine yanakombolewa
 
Khaa!! Humu sasa hakuna issues za maana bora niende MMU labda nitaokoteza kitu 😎
 
habari ndo hio mpaka sasa ccm kuikomboa nyamagana, ukerewe, ilemela, lindi mjini, kigoma kusini, kasulu mjini, kasulu vijijini: Bado mengine yanakombolewa

na wao pia wamechapwa kilwa kusini, kaskazini, utete na kibiti
 
Ila utambue huko Kigoma jimbo la Christopher Chiza(CCM) limechukuliwa na CHADEMA.
 
Habari ndo hio mpaka sasa CCM kuikomboa nyamagana, ukerewe, ilemela, lindi mjini, kigoma kusini, kasulu mjini, kasulu vijijini: Bado mengine yanakombolewa

Watu walizani kura zinapigiwa hapa jf,kumbe tunaopita jf ni kakundi kadogo kupita watanzania wengi wasiokua hata smartphone.na kipindi hk hakuna aloibiwa kura
 
Kiukweli Watanzania tutakuja jutia uamuzi wetu
 
Back
Top Bottom