Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Naomba ijulikane kinachoendelea na kitakachoendelea kuanzia sasa hivi
Tume itatangaza sehemu zile ambazo CCM imeshinda na zile ambazo haikushinda zitaachwa kwa sasa hivi,
nia na madhumuni ni kuwaweka sawa wtanzania kisaikolojia tayari CCM kushinda tena
wakati wanakaa kimya baada ya CCM kuwa na asilimia nyingi za kura watakuwa wapo busy wakichakachua
Ukawa fanyieni kazi haraka kabla mambo hayajapoa na ikiwezekana tutangazieni kura zote kama Maali Seif.
Naamini kwa hivi sasa Ukawa watakuwa wanafanya majumuisho.

Zoezi hilo likikamilika watafanya 'surprise' kabla ya hiyo tarehe 29 ambayo January ameshaitangaza rasmi kuwa ndiyo siku ya kuapishwa Mr Pushap.
 
Uchaguzi huu sio harufu
ni 'full kuchakachua'
Umafia uliofanyika jumbo la Kahama ni uthibitisho wa kuendelea kusiginwa kwa demokrasia hapa nchini. Nadhani hakuna haja ya kuwa na upinzani hapa nchini,bora ibaki ccm tujue moja.
 
Hivi aljeezira ,cnn , sky na wengine wanasubiria fujo waje kuripoti

Mkuu una king'amuzi? Aljaeera siku nzimaya jumamosi walkua wanatanaza mkutano a CHADEMA live kila wakati wa habari zao. Hata leo wanatoa tarifa za uchaguzi kama wanavyozipata. Download Apps yao itakua rahisi
 
Nilichojifunza nchi hii sio ya kidekrasia hata kidogo nimeona itv farouk karim anaongea kitendo cha kutaja tu kuwa maalim seif kaongoza kituo gani sijuibwamekata matangazo fasta
 
Wakuu,


Mada maalumu zimeandaliwa kwa ajili ya Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania. Mada hizo zimepangwa tokana na Mikoa kama ilivyoanishwa hapa chini;


1. Arusha - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

2. Dar es Salaam - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

3. Dodoma - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

4. Geita - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

5. Iringa - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

6. Kagera - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

7. Katavi - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

8. Kilimanjaro - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

9. Lindi - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

10. Manyara - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

11. Mara - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

12. Mbeya - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

13. Morogoro - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

14. Mwanza - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

15. Mtwara - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

16. Njombe - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962852-njombe-matukio-na-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

17. Pwani - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html

18. Ruvuma - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

19. Rukwa - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

20. Singida - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

21. Simuyu - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

22. Shinyanga - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

23. Tabora - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

24. Tanga - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...i-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html?highlight=

25. Pemba - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html

26. Unguja - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...-ya-uchaguzi-mkuu-2015-kama-yanavyotujia.html

27. Kigoma - Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia


Habari zaidi kuhusiana na Uchaguzi Mkuu 2015


1. Lowassa 'LIVE' ITV akiwa anapiga kura - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/962978-lowassa-live-itv-akipiga-kura-monduli.html

2. Magufuli 'LIVE' Star TV akiwa anapiga kura - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...-magufuli-live-star-tv-kupiga-kura-chato.html

3. Mgombea Urais TLP ashindwa kupiga kura - https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/963039-mgombea-urais-tlp-ashindwa-kupiga-kura.html

4. Watanzania wakipongezana kwa kupiga kura - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...nia-kwa-kujitokeza-kwa-wingi-kupiga-kura.html

5. Maalim Seif aitaka ZEC imtangaze mshindi - Maalim Seif: Nimekusanya matokeo kutoka vituo vyote ninaongoza, aitaka ZEC imtangaze mshindi

6. Makamba Atangaza siku ya Magufuli kutangazwa Rais - Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

7. Makamba acha kutuaribia Amani - https://www.jamiiforums.com/uchaguz...zania-kwa-uwezo-wako-mdogo-wa-kupambanua.html



Matokeo rasmi kutoka NEC:-

Matokeo Rasmi kutoka NEC -Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

Wakuu wangu yaani katika uchaguzi huu JF haijafanya vizuri hata kidogo. Miaka ya nyuma tulikuwa tunapata matokeo ya uhakika humu lakini mwaka huu naona mambo si mazuri hata kidogo. Mmejitahidi kuweka thread ya kila mkoa, nilitegemea updates ziwe kwenye ile post ya kwanza na itoke kwa mtu reliable badala yake imekuwa ni vurugu tupu hapa JF. Angalieni mabadiliko yasije yakatukumba.


 
Fanyeni kama Zanzibal alivyo Fanya Malim Seif
Hawana matokeo. Kituo chao cha kukusanyia matokeo kimevamiwa na Polisi na kuwakamata watu. Hii ni kwa mujibu wa Makene kama ilivyotolewa na gazeti la Mwananchi leo.
 
Manina hebu watupe tokeo
Chapu mi nishazoea kubet baada ya dakika tisini tokeo
Sasa hii supu ya utumbo naona wanataka ipoe
LOWASSA AJITOKEZE ATOE TAMKO CHAP
 
Hadi sasa majiji ya tanga, mbeya na arusha yako chini ya ukawa. Jiji la mwanza ccm wameshabeba tunasubiri jiji la dar sijui itakuwaje. Napenda sana lowassa anapowapokea akina obama pale air port aambatane na meya wa chama chake.
 
,hivi mnamuona mussa Alan aliitwa kamanda naye baada ya lowasa kuhamia ukawa
 
Mkuu The Boss kwanza si kweli Mkoa wa Kilimanjaro una majimbo mengi kuliko Dar na Tabora.

Dar es Salaam Ilala,Ukonga,Segerea,Mbagala,Temeke,Kigamboni,Kinondoni,Ubungo,Kawe na Kibamba jumla majimbo 10.
Tabora ina jumla ya majimbo 12 Tabora Mjini,Igalula,Uyui,Sikonge,Urambo,Kaliua,Ulyankulu,Nzega Mjini,Bukene,Nzega,Igunga na Manonga.

Kilimanjaro ina jumla ya majimbo 9 nayo ni Moshi Mjini,Hai,Sia,Same Magharibi,Same Mashariki,Rombo,Moshi Vijijini,Vunjo na Mwanga.

First mimi napinga hiyo set up
halafu huko ni issues za muungano

ya Kilimanjaro sio muungano why wawe na wabunge weengi kuliko Dar?au tabora?
 
Last edited by a moderator:
Mwanza na Dar ambayo ndo mpango mzima lazima yatue lumumba, sioni Zungu, Azzan, Jerry Slaa, Dr. Nanilii wa kigamboni, na hata yule Mmama wa Segerea wakishindwa, sioni! Cha kujivunia upinzani ni baadhi ya udiwani watapata.
Alafu naomba Mnyika arudi bungeni, hata kwa kuiba kura, tunamuhitaji sana pale mjengoni.
 
Back
Top Bottom