Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Tatizo elimu nyie ndg zangu wasukuma bado sana! Mnaangalia ukabila daa! Shida sana dudendelea gete nahene!
 
hivi Tabora nayo ni kanda ya ziwa? kanda ya ziwa ni Kagera, Mara, Shinyanga Geita na Mwanza
 
Makamanda hakuna kukata tamaa, Ingawa NECCCM inatufanyia figisu figisu sana!
 
Hili lilikuwa wazi mbona tulijua Wasukuma walishadanganywa kuwa mwaka huu ni wao.

Acha upuuzi, tutake radhi, mtu hachaguliwi kwa kabila lake bali sifa za kiutendaji alizonazo.

Usirudie tena kuleta ujinga kama huu mithili ya mgombea mmoja aliyewataka Walutheri wamwombee sana kwani hakuna Mlutheri aliyewahi kuwa rais katika nchi hii.
 
Ni kosa kubwa sana kwa wana ukawa kukata tamaa kwa sasa..kwani jamaa watatumia udhaifu huo kuwapiga chini zaidi.
Amini nawaambieni ushindi upo wazi.
hahahahaha kwa taarifa yako gap la arusha limefidiwa na majimbo kama 5 tu kwa gap ya kura kama 82,000. Na bado majimbo mengine ambayo Dr Magufuli anamburuza kwa mbali mno fisadi lowasa. Sahau fisadi kushinda, na atakoma
 
Nyerere alikataa kabisa huu upuuzi wa mikabila mikubwa. taifa linaenda kugawanyika.
 
Miongoni mwa yale majimbo yaliyotangazwa, yapo majimbo ya Pemba ambayo Lowasa anaongoza kwa zaidi ya asili,ia 80. Pia kuna jimbo la Joshua Nassari ambalo CHADEMA wameongoza kwa kura nyingi. Kimuhemuhe cha nini?
 
WA kaskazini acheni ukabila wenu mnachagua fisadi kisa anatoka huko?
 
Miongoni mwa yale majimbo yaliyotangazwa, yapo majimbo ya Pemba ambayo Lowasa anaongoza kwa zaidi ya asili,ia 80. Pia kuna jimbo la Joshua Nassari ambalo CHADEMA wameongoza kwa kura nyingi. Kimuhemuhe cha nini?
Is that u?
 
Tatizo elimu nyie ndg zangu wasukuma bado sana! Mnaangalia ukabila daa! Shida sana dudendelea gete nahene!

Hamna cha ukabila hapo, ndo ilivyo, anapotokaga mgombea hawezi shindwa hata siku moja, hata nchi za nje, Obama hakupiga hata kampeni ya mguvu ktk caucus ambayo ipo middle east, Joe Bidden na Delaware democrats walifunika, kikwete na pwani hasa bagamoyo, nategemea Magufuli kupewa kipigo cha mbwa mwizi Arusha na maeneo ya jirani kama Kilimanjaro.
Hamna ubaguzi wala ukabila, ndo ilivyo. Hata mimi kama mtu anayetoka eneo langu na anazo sifa, SITOSITA.
 
hahahahaha kwa taarifa yako gap la arusha limefidiwa na majimbo kama 5 tu kwa gap ya kura kama 82,000. Na bado majimbo mengine ambayo Dr Magufuli anamburuza kwa mbali mno fisadi lowasa. Sahau fisadi kushinda, na atakoma

Umesikika...endelea kusubiri.
 
Kamanda tunakuelewa na nina hakika UKAWA inaongoza maeneo mengi. Na ninatumaini bado UKAWA wanaendelea na tallying kwa stations zingine ambazo ni lazima usalama wake uwe imara sana. Mungu atatusaidia. Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu. Uongozi wa kulazimisha hauna baraka kabisa. Tuendelee kumuomba Mungu sana atusaidie na tutashinda tu. Tusikate tamaa kabisa.
 
Hili lilikuwa wazi mbona tulijua Wasukuma walishadanganywa kuwa mwaka huu ni wao.

Hayo ni maneno yako tu. kuna wasukuma wengi sana waliokuwa upande wa UKAWA ama akina mzee wa nyeti na wengine waliogombea kupitia ukawa siyo wasukuma?
Tukirudi kwenu, unamaanisha watu wa nyanda za kaskani nao walikuwa wamedanganywa kuwa mwaka huu ni wao?
 
Back
Top Bottom