Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

Kaishakatwa huyo mara ya pili. Kwaheri Lowassa uchungaji mwema wa ng'ombe.
 
Hadi sasa majiji ya tanga, mbeya na arusha yako chini ya ukawa. Jiji la mwanza ccm wameshabeba tunasubiri jiji la dar sijui itakuwaje. Napenda sana lowassa anapowapokea akina obama pale air port aambatane na meya wa chama chake.

Bila kusahau MOSHI
 
Dar imeshaondoka CCM.

Wameficha matokeo.
 
Hadi sasa majiji ya tanga, mbeya na arusha yako chini ya ukawa. Jiji la mwanza ccm wameshabeba tunasubiri jiji la dar sijui itakuwaje. Napenda sana lowassa anapowapokea akina obama pale air port aambatane na meya wa chama chake.

Dar imebebwa na UKAWA!
 
Mwanza na Dar ambayo ndo mpango mzima lazima yatue lumumba, sioni Zungu, Azzan, Jerry Slaa, Dr. Nanilii wa kigamboni, na hata yule Mmama wa Segerea wakishindwa, sioni! Cha kujivunia upinzani ni baadhi ya udiwani watapata.
Alafu naomba Mnyika arudi bungeni, hata kwa kuiba kura, tunamuhitaji sana pale mjengoni.

Mpaka sasa inasemekana Kigambon, kinondoni, temeke na ukonga zishaenda ukawa ccm wameshinda segerea na ilala tu
 
Ukawa na Lowassa wao watajibeba mwaka huu
 
Mpaka sasa inasemekana Kigambon, kinondoni, temeke na ukonga zishaenda ukawa ccm wameshinda segerea na ilala tu

Tunataka madiwani wa kutosha ili tuunde halmashauri za manispaa za ilala, temeke na kinondoni pia halmashauri ya jiji
 
Hadi sasa majiji ya tanga, mbeya na arusha yako chini ya ukawa. Jiji la mwanza ccm wameshabeba tunasubiri jiji la dar sijui itakuwaje. Napenda sana lowassa anapowapokea akina obama pale air port aambatane na meya wa chama chake.
Baada ya hii game Lowassa anarudi kijijini kuchunga ng'ombe.
 
Mpaka sasa inasemekana Kigambon, kinondoni, temeke na ukonga zishaenda ukawa ccm wameshinda segerea na ilala tu

Vizuri, tukiangalia upande chanya wa huu uchaguzi, wananchi wameamka kiasi. Nafikiri yeyote atakayeshinda atakaa hapo huku akiwa na wasiwasi endapo ataboronga. Safi, ila ukonga mbona nasikia Slaa kashinda? Hii mitandao nayo!
 
Baada ya hii game Lowassa anarudi kijijini kuchunga ng'ombe.

Atapata mwaliko wa kikundi cha ufugaji kutoka monduli kujs kumuona raisi ikulu ili awasaidie kumaliza mgogoro wao na wakulima
 
Kanda ya ziwa Mwanza,Shinyanga,Simiyu,Geita na Tabora na Rukwa .ukawa hawajapata hata jimbo moja
 
mpaka sasa ni majimbo 10 tu yameshatoa matokeo ya uraisi kati ya majimbo takribani 266,kitendo cha NEC kutangaza matokeo yanayoibeba CCM ili kuvunja imani na morali wa watanzania na kuwaanda kisaikolojia wananchi kukubali matokeo feki watakayo yaanda,ndiyo mbinu yao ya mwisho wanayoitegemea,katika wakati huu mgumu,wanamabadiliko tunaomba msife moyo,watatangaza NGOME zao za ushindi mpaka zitakapokwisha,kisha baada ya hapo,zitafata NGOME ZETU ambazo tumewaacha kwa tofauti kubwa sana ya kura,kwa mfano idadi za kura ambazo magufuli anaongoza mpaka sasa katika hayo majimbo 10 ambayo magufuli anashikilia majimbo 8 tu,zinaweza kufidiwa na majimbo mawili tu ya UKAWA! NB:kadri giza linapokuwa kubwa sana ndivyo asubuhi inapokaribia,so NEVER GIVE UP
 
Hili lilikuwa wazi mbona tulijua Wasukuma walishadanganywa kuwa mwaka huu ni wao.
 
Kuanzia sasa na mimi nitakuwa napiga kura kufuata kabila langu au la mke wangu, baaasi. Kama hamna, basi nitachagua kabila jirani
 
jimbo la nyamagana matokeo bado hayajatangazwa
 
Ni kosa kubwa sana kwa wana ukawa kukata tamaa kwa sasa..kwani jamaa watatumia udhaifu huo kuwapiga chini zaidi.
Amini nawaambieni ushindi upo wazi.
 
Back
Top Bottom