Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
Naamini kwa hivi sasa Ukawa watakuwa wanafanya majumuisho.Naomba ijulikane kinachoendelea na kitakachoendelea kuanzia sasa hivi
Tume itatangaza sehemu zile ambazo CCM imeshinda na zile ambazo haikushinda zitaachwa kwa sasa hivi,
nia na madhumuni ni kuwaweka sawa wtanzania kisaikolojia tayari CCM kushinda tena
wakati wanakaa kimya baada ya CCM kuwa na asilimia nyingi za kura watakuwa wapo busy wakichakachua
Ukawa fanyieni kazi haraka kabla mambo hayajapoa na ikiwezekana tutangazieni kura zote kama Maali Seif.
Zoezi hilo likikamilika watafanya 'surprise' kabla ya hiyo tarehe 29 ambayo January ameshaitangaza rasmi kuwa ndiyo siku ya kuapishwa Mr Pushap.