Mdanganywa
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 620
- 342
Hautoamini..,Lowassa ndiye Rais.
tunamwaga pipi Mwaga pipiHabari ndo hio mpaka sasa CCM kuikomboa nyamagana, ukerewe, ilemela, lindi mjini, kigoma kusini, kasulu mjini, kasulu vijijini: Bado mengine yanakombolewa
Walisaliti amri kwa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete.
kama mmelinda kura basi sawa......
Ukawa wameshauriwa wawe wanatoa updates za matokep tusubiri tuone wanaweza kuja na surprise.Naomba ijulikane kinachoendelea na kitakachoendelea kuanzia sasa hivi
Tume itatangaza sehemu zile ambazo CCM imeshinda na zile ambazo haikushinda zitaachwa kwa sasa hivi,
nia na madhumuni ni kuwaweka sawa wtanzania kisaikolojia tayari CCM kushinda tena
wakati wanakaa kimya baada ya CCM kuwa na asilimia nyingi za kura watakuwa wapo busy wakichakachua
Ukawa fanyieni kazi haraka kabla mambo hayajapoa na ikiwezekana tutangazieni kura zote kama Maali Seif.
kuna harufu ya uchakachuaji inayofanywa na ccm makamanda kuweni macho
halafu mbona ukawa hawaitish pres? Mbowe na lowasa itisheni mkutano mtoe mwongozo vijana wako tiyari
Naomba ijulikane kinachoendelea na kitakachoendelea kuanzia sasa hivi