Mdanganywa
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 620
- 342
Mimi nililinda, tena mita 20 tu toka vituoni, yalipotoka dola ilitusaidia, yaani wale askari magereza ndiyo waliokuwa wanaelekeza, hiki kituo bado, kil tayari.
Kwa taarifa yako baada ya matokeo binafsi niliwashukuru askari wote na wasimamizi wote. Walitoa suhirikiano mzuri wa kuhakikisha tunalinda umbali wa mita 20 na chini ya hapo, wapo waliolinda mita kum!.
Hivyo, si kwamba tulitii dola, bali dola ilitusaidia ili tulinde kura.